@mabatiimara1: 🏠✨ Unafikiria kujenga nyumba kwa bajeti? Inawezekana! 💰 Tazama video hii ujionee jinsi nyumba inaweza kujengwa kwa gharama nafuu bila kuacha ubora. Tunakushauri na kukupatia mabati imara, original na ya kudumu kwa bei nzuri. 📍 Tunapatikana Buguruni Chama, Dar es Salaam. 📞 Piga simu: 0674 344 436 0768 206 093 📲 Wasiliana nasi leo upate ushauri na bei nzuri! #fyp #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp #viral #viralvideo
MABATI IMARA ORIGINAL
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 04:25:19 GMT
Music
Download
Comments
Benson Decoration :
UFUNDI 850,000 sokweli iyohela nikidogo
2026-07-12 17:49:34
14
JASTONOSCAR :
nyumba hio kwa hio bei ya ufundi ni uongo
2026-07-13 05:09:27
7
kd_store_code :
Yn apo ni mabati tu😂 me kujenga bado san😂😂😂
2026-07-13 08:14:59
15
KIM*POLITE☆☆ :
iyo niuongo bhana
2026-07-12 14:53:10
2
Sir JJ Tician :
kama ni hivyo kujenga ni rahisi
2026-07-13 14:27:40
1
chosen one :
Na hapo haujaweka NONDO na CEMENT 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
2026-08-01 19:26:42
0
Duma :
👍 Ninakazi makanikweli nipo serious kabisa
2026-07-12 22:37:58
1
Sixbert machine :
hakuna misumali kaka?
2026-07-18 14:27:05
0
Abu Huda :
bati 140 katumia
2026-07-15 04:13:55
0
m_s_@_t_i_st0ryteller :
izo hesabu ni kweli
2026-07-13 19:29:56
0
hezrooney :
misumary sijaona
2026-07-13 13:07:29
1
juma rupimo :
ndoto yangu kbx
2026-07-13 09:55:44
0
Simbamwene :
safi sana kwa taarifa
2026-07-14 10:04:26
0
Nassory Mziba :
mbao mbona kama bei ndogo
2026-07-13 12:19:27
1
Mairah :
navifaa vilivyobaki vyote ukitoa mbao na mabati?
2026-07-13 07:57:57
0
Emmanu elelijah Empire🇰🇪🇰🇪 :
hiyo 850000 ni kupaua tu au mpaka kujenga boma lote kaka
2026-07-19 18:21:28
0
Binti wa Mt. Ritha wa Kashia :
Ni nyumba ya vyumba vingap
2026-07-14 13:55:33
0
Tech Master 🛠 :
Hici kumbe kupaua sio gharama kivile 😁
2026-07-13 20:49:44
0
Damas Adamson :
ztogali je
2026-07-13 10:57:39
0
Presenter Sam🎙️255 :
kwahyo hayo matofali ni buree
2026-07-13 09:14:09
0
Marry Castory :
inavyumba vingapi
2026-07-13 11:24:29
0
reuben ayoub :
inaukubwa gani
2026-07-13 17:36:04
0
tokakimjinicollection :
acha uongo
2026-07-13 05:11:17
0
isack mw :
nyumba hio uongo haiwezi tumia bati chache hivyo
2026-07-12 15:45:49
1
VJ chuxe :
hizo bati g32 zote zitapaukaa kwa muda mfupiiii😅😂😂😂
2026-07-28 14:37:02
1
To see more videos from user @mabatiimara1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.