nilikuwa team sofire ila after perfomance ya huyu dada fr real she deserved ata second position wallah🥰
2026-07-21 20:18:09
3
Rozhyy vunja bei :
namba ajashika lakini kwa mungu huyu ndo namba moja
2026-07-13 07:49:33
54
Monica songoro :
Kaimba vizuri jmn😭😭
2026-07-19 14:55:48
3
suzy :
tupo wengi kumbe
2026-07-16 07:53:27
3
Jsm0059 :
wanaosema huyu ndio mshindi wetu
2026-07-25 19:14:14
7
Cyndystar :
uyu ndio mshindi wetu,ako na upako wakuimba wachana na wale walio taka bongo tupu
2026-07-16 18:33:54
7
naynasummy :
Namba moja wangu praise then huyu
2026-07-13 13:51:11
10
user9953011846169 :
na mimi alikuwa mshind wangu
2026-07-19 11:41:09
1
LOVE OG :
Kwa Kwery ata mm nlimpenda sana
2026-07-21 14:03:20
2
no body to skip life :
mimi kiukwel bss niiamini kabisa wanakuwa washamtengeneza mtu wao ..ambae watagawana nae hzo pesa ..just imagine ..mr jay yey walimtoa kwasabb wanamjua yeye anaga kupindisha..mungu amsaidie
2026-07-14 09:34:58
9
Dayana Sabuholo :
dada ana imba jaman 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 15:32:43
0
Jackie😊 :
so ww ata mm pia😊
2026-07-18 10:05:06
1
Mishi :
Mpee milion 50😂
2026-07-19 19:04:04
1
Abass :
Mungu atampa watu wake sahihi tunapokea upako na uwimbaji wake🙏🙏🙏
2026-07-16 12:36:31
0
nay🦋 :
anajua sanaàa ila alipochanganya na hisia hapo
2026-07-18 18:38:03
2
user2156300065486 :
mi mtz ila huyu alifaa kuwa mshindi
2026-07-18 13:38:01
2
fetty :
sanaaa awajamyendea haki kabisaaa😪😪
2026-07-19 18:55:59
1
Githua James :
Hakuhesabika Kwa ya Dunia bt in heaven and in our hearts and mind,, she won everything,, 🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 14:24:49
2
mama wa mani :
majaji huyu ni mshindi wa 1
2026-07-19 09:19:30
1
Amida Rose :
ubarikiwe unajua sana usikate tamaa aliyekufikisha apo atakutoa apo pia 🥰❤️
2026-07-21 19:33:52
2
grace :
ata mimi mshindi wangu ni freya
2026-07-18 19:14:57
2
To see more videos from user @bae_marstz1, please go to the Tikwm
homepage.