@pilitoni2: #gubupromax#babaatu#mpwapwasho#piltonicomedian#comedy

piliton
piliton
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 07:31:46 GMT
48702
3484
177
275

Music

Download

Comments

sweetpie744
🧸mnyakyusa wa tukuyu🤭🦋 :
apo utachagua wew 😂 uolewe na baba atu au u like comment yangu 😅
2026-07-12 09:45:36
40
mickiejako
Mick 4ne fixer📲💰 :
yan uspo waona hawa ujue simu yako mbov sasa😂😂😂😂😂😂
2026-07-14 07:36:03
40
miss.jojo91
Miss.walter :
Utachagua mwenywe uolewe na Baba atu au Diamond platinum
2026-07-14 20:15:48
17
norahmbareck13
Nour.moon❤️🦋 :
Sema tu ulikuwa unatafuta sababu ya kulala bila kuoga😂😂😂
2026-07-14 14:06:32
10
itsmil.lov02
Mila 💕 :
Ulikuw tu utaki kuoga 😅
2026-07-14 15:58:53
6
neemamartin300
Ms jackie :
Nan Kampa baba atu icho kikofia😁😁
2026-07-14 20:45:33
3
yanamwish
siiyoo🥰baby💯💃🇹🇿🇰🇪✍️👣🌹 :
nimekuwa wakwanza baba atu
2026-07-12 07:39:17
4
zulfa.photographe
calm girl 🌸🦋 :
alikuwa hataki kuoga tu 😁😁😁😁
2026-07-12 16:15:08
7
ibrahim.miyemba
kadabra jr :
baba atu mungu anakuona 🤣🤣🤣
2026-07-16 15:23:20
1
cleopatra_wa_g
Cleopatra :
haikuwa mpango wa Mungu ndio kitu nilichokuja kugundua😂😂
2026-07-15 04:16:10
1
pretty.marry22
Ms marry ♥️ 🎀 :
Najuwa Haiwahusu ila Masha Love Kaniambia Mamb Leo😂🙌
2026-07-13 10:31:49
4
mrs.b1184
Mrs B :
maagizo compli compli ndio yapoje jmn😂😂
2026-07-14 13:42:13
2
majengo1458
Arthur :
niseme TU ukweli kwamba hujapenda kuoga Leo baba atu😆😆😆
2026-07-14 12:27:34
2
user61447ammybae
Blissfully_Amie :
😂ila visababu
2026-07-12 20:40:03
1
vin_mkali_32
vin _32_🇿🇦 :
fanya complete nakubali🔥
2026-07-12 07:48:03
2
iam_roon1
iam_roon :
mwamba huitaji maiki sautiyako ni spika tosha 😂😂
2026-07-14 18:16:34
1
mchunguzijr
It's Mchunguzi :
alikuwa hataki kuoga😂😂😂
2026-07-12 18:46:15
1
elizabeth.kiwia2
Elizabeth Kiwia :
hiyo kofia 😂😂😂
2026-07-12 12:29:15
1
suelchambi
Suel Chambi :
Iyo kofia baba atu😅😅
2026-07-12 07:41:44
1
macto_shoes
macto_shoes :
kila siku unasema utakaa kimyaa ila wapii😂😂😂 wewe una vi maneno baba atu
2026-07-14 15:54:23
1
albertnituze20
albertnituze20@ :
moja ya hasara ya kuoa ni kupelekewa maji bafuni na hauna ratiba ya kuoga🤣
2026-07-14 07:38:03
1
shei414
shei dad :
kama sio mpango wa mungu na mimi si ogi 🙌😁
2026-07-12 11:32:06
1
fillings910
🦋🌺Mss Rolline 💙🦋❤️ :
Kumbe ulikuwa utaki kuogaaaa 😂😂😂😂😂😂
2026-07-16 21:28:04
0
samsonijacksoni2
Samson :
kubl
2026-07-12 07:37:12
0
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About