@mkmoney1333: #mkmoney #elimu #tanzaniantiktok🇹🇿 #soma #mapenzi

MK MONEY MEDIA
MK MONEY MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 07:33:36 GMT
179868
8641
313
1689

Music

Download

Comments

sindestore_1
sindestore_1 :
Hii post imekaaje na kesho ni UE
2026-07-12 16:49:47
224
chunya_finest1
⛏️Chunya finest-1🪏 :
Asante kwa kunivunja moyo
2026-07-12 19:13:56
101
jay666385
Jay :
kusoma sana sio mafanikio.kusoma ni kitu kingine na mafanikio ni kitu kingine.
2026-07-13 03:40:36
86
arnoldngonyani
Arnold Ngonyani :
Kama una PhD basi nadhani PhD yako haikusaidii, umeshindwa kujua nini maana ya mafanikio, tofautisha kati ya mafanikio na utajiri. Sio kila mtu anaona utajiri kwake ni mafanikio, mafanikio ni kupata kitu ambacho hukuwa nacho hata mimi nikipata mshahara wa PhD ni mafanikio yangu binafsi.
2026-07-12 23:14:42
41
venaaaaa576
venaaaaa :
asantee mola Kwa kuishia dalasa 3
2026-07-13 03:33:07
20
user9703850088685
user9703850088685 :
Alhamdulillah nimeishia form4 lkn nina makampuni na nimeajiri wasomi
2026-07-13 08:36:16
7
peace.hd
AMANI• #PC#√*$€G :
Ujuz ni muhimu sana
2026-07-12 17:13:17
28
user97374875953825
KC :
Waliosoma sana ndio mwisho wanakuwa hamna kitu
2026-07-12 18:22:42
27
nassoro.mkwanje
Nassoro Mkwanje :
Kusoma unaishi kwenye principles and reasoning
2026-07-12 17:43:22
9
tapeli59
D. :
Mbna Samia amesoma sana na leo ni Rais
2026-07-13 04:19:32
11
sabygirl56
Sabygirl😘 :
nikweli jaman tupo nyuma kuendekeza shule jaman🙌🙌
2026-07-12 18:05:05
12
ramadhanima239
+Child of God+ :
wasomi Hiii....
2026-07-12 16:37:49
8
emanuelndayata
ndayata :
kusoma sana sio tatizo tatizo ni vile tunavyo visoma sana
2026-07-13 04:46:34
5
emmanuel.mgema.kas
Emmanuel.mgema.kaswa. :
poiti sana mkuu
2026-07-12 16:07:17
12
manenofabian
manenofabian :
point kabisa hii mkuu
2026-07-12 09:30:20
12
kids4964
kidd🤍 :
Acheni kuwapa watu wajinga umaarufu,, lengo kuu la elimu ni kusaidia watu,,pili wewe ndiyo utaamua hiyo elimu yako ikupe mafanikio… ila siyo kusema walio soma hawafanikiwi
2026-07-14 14:55:36
2
its_fredy77
drizzy_de_sir'ning'o :
Ukweli mchungu📌📌📌
2026-07-12 19:08:29
4
gymkivu
Kivu fit nation 🏋️🇨🇩 :
Elon musk 2 diplômes universitaires en physique et économie
2026-07-12 17:47:54
4
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
Tatizo hatujui Mafanikio nini?
2026-07-12 17:26:20
7
fitaa0913
energies :
asante Mungu kwa ku maliza darasa la saba 7
2026-07-13 06:50:40
2
anduru147
am14578 :
kwenye hii dunia sio kila mtu yuko.motivated na pesa tu Ndio maana kuna mapadri na masista wenye Phd wakihudumu kanisani Satisfaction and happiness sio uniform kama ya shule Kila mtu ana yake Yuko atoshekaye na mshahara ti hataki stress za biashara anataka guaranteed income ya kila mwezi basi Wako matajiri wakubwa mno wana mabilioni hasa wahindi lakini hawajengi nyumba za kuishi binafsi hata siku moja wanaishi nyumba za kupanga za msajili wa majumba lakini wanaridhika wakati kuna mswahili bila kujenga nyumba yake anajiona hovyo kabisa Maisha tusipangiane kila mmoja aishi ya kwake
2026-07-13 09:55:03
4
user500691074672
motomoto kumalija :
uhakika kabx
2026-07-12 15:23:38
5
alphonce739
Alphonce :
hapana, kusoma nako kuna umuhimu
2026-07-13 13:44:29
0
user2818014873161zzouh
zulfa mandia🇹🇿🔥🌹🇦🇪 :
wasomi hi 👋😁😁
2026-07-13 06:50:55
1
mpita_njia08
Mpita_Njia :
Aiseee!
2026-07-12 19:39:19
2
To see more videos from user @mkmoney1333, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About