@crux.modest.pbd: Ngoma niliandika wakati nikiwa form six mwaka 2025, baada ya kuona msela wangu anapitia magumu ya maisha. Niliamua kuirekodi studio na sasa ipo kwenye channel yangu ya YouTube, 'cruxmodest tz'. Sapoti msanii wako wa nyumbani, Tz. Asanteh! #creatorsearchinsights #cruxmodesttz #Bongofleva #BalinasMusics