@gastmedia: ๐— ๐—ฆ๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—ข๐—ก๐—š๐—˜ Kama kweli una mpango wa kufungua duka la mangi na mtaji wako ni TSh 4,000,000 tu, na wewe ni mgeni kabisa kwenye biashara hii, usikurupuke. Mtaji mdogo ukitumika kwa mpangilio sahihi unaweza kukupa mwanzo mzuri. Kama hujui uanzie wapi, ununue bidhaa zipi kwanza, ugawanyeje mtaji wako, na uandae duka lako kwa usahihi kulingana na mtaji ulionao, wasiliana ๐ง๐š๐ฌ๐ข ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐€๐ฉ๐ฉ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐ง๐š๐ฆ๐›๐š +๐Ÿ๐Ÿ“๐Ÿ“ ๐Ÿ•๐Ÿ–๐Ÿ• ๐Ÿ–๐Ÿ“๐Ÿ ๐Ÿ–๐Ÿ”๐Ÿ–. ๐—ง๐—จ๐— ๐—” ๐—จ๐—๐—จ๐— ๐—•๐—˜ ๐—ฃ๐——๐—™ ๐——๐—จ๐—ž๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—”๐—ก๐—š๐—œ ๐—”๐—จ ๐—ฃ๐——๐—™ ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—”๐—๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข Utapata PDF ya kitaalamu yenye mwongozo wa kuanzisha duka la mangi kwa mtaji wa TSh 4M, ikiwa imeandaliwa kwa uaminifu mkubwa na kwa uzoefu wa vitendo. Biashara ni mpango. Usiwasikilize wanaosema mipango ya biashara ya kwenye karatasi haina maana. Kama madaftari ya biashara yasingekuwa na kazi, watu wasingeyatumia kila siku kupanga mauzo, matumizi na maendeleo ya biashara zao.

GAST MEDIA TZ
GAST MEDIA TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 08:33:18 GMT
5430
81
1
9

Music

Download

Comments

shedrackmachenje
Shedrack_machenje Senior :
amen
2026-07-12 10:08:32
0
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About