Tutatofautiana hapo, Laptops hazikutengenezwa kama simu, ni pc unayoweza kuitumia na kuibeba (portable). Kwanini ina battery? Battery imewekwa ili kukupa 'backup' endapo umeme umekatika au unahitaji kutumia na huna chanzo cha umeme.
Ni kweli Lithium batteries zinazotumika kwenye Laptops na vifaa vingine, huharibiwa sana na joto pamoja na overcharging.
Lakini, Battery management systems za Laptops kwa sqsa ni highly sophisticated kwaajili ya kulinda betri.
Hivyo basi ifikapo 100% itaswitch charging off na itakua inatumia umeme directly kutoka kwenye Adapter. betri hulindwa na kua tayari kwa matumizi ya lazima.
Huna haja ya kutumia Laptop kama simu weka pc kwa adapta muda wote kama kuna umeme ulipo. Hii itakusaidia kuongeza maisha ya betri yako maradufu.
Matumizi ya betri mara kwa mara kutapunguza uwezo wake mapema sana.
Kama kuna anaebisha basi namkaribisha aandae mdahalo popote niyoe maelezo zaidi ya kitaalum. 🤝
2026-07-12 15:51:13
9
it kai❤️ :
boss napata pc gani kwa 400k
2026-07-13 13:07:43
0
Painite :
makofi 👏👏👏👏👏👏
2026-07-12 15:20:34
0
Davis Kigola :
👑👑👑
2026-07-12 15:27:33
1
george :
🔥
2026-07-12 18:50:16
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.