@my_jg24: 😭😭😭😭 kama kuna maisha mengine bado nitakuchangua wewe mume wangu pumzika kwa amani baba D🥹🕯️

Mwaya_J&D”
Mwaya_J&D”
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 09:04:10 GMT
733896
70793
5215
591

Music

Download

Comments

asiamtaliano
MTARIANO COLLECTION :
mungu angemchukua baba wa wanangu angemuacha wako sioni faida yake ktk Dunia
2026-07-12 18:09:17
1349
tukamanyatemamate
mary handsome :
very sory 😭😭nishawahi kupitia hii😭😭
2026-07-12 16:33:02
427
jeje.boy13
🏍️JEJE Boy 💪 :
pole san dd
2026-07-19 18:54:48
0
bhonipherce
Bahat💞🌱 :
pole dada
2026-07-19 16:24:34
0
victoriapause
🦋Victoria🦋 :
pole dear🫂
2026-07-19 17:41:34
0
gifty.brown57
Gifty Brown :
eee mungu niepushe naaya maumivu siyawezi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-12 17:40:08
876
user7956861041315
mom 💝ashnayfat💞 :
mungu mpe maisha maref mume wangu japo kunamda ananikwaza lakin hakuna wasio gombana kwenye ndoa🤲🙏
2026-07-13 07:38:00
591
abdul_tz8
Abby11⚽ :
duh pole sana so sad😔
2026-07-19 13:25:18
0
estherseiff
Esther seiff :
pole dada
2026-07-19 21:05:44
0
jastina655
justina655 🌄🌺 :
pole dear
2026-07-18 09:42:00
0
dee..khadijah
Divannah😍😘 :
Nyie me naogopa 🥹🙌
2026-07-12 17:08:18
142
blackbeauty1675
Black Beauty1675 :
mhh kiatu chako kinabana, pole sana
2026-07-12 15:11:35
673
berry.smile31
Hopecash🥰🥰 :
Ila wanaume jifunzeni kitu hapa wake zenu ndo wako na huruma na nyinyi . Dada mungu akutie nguvu
2026-07-12 15:21:34
1633
sabrina.ngunga
mamaGee :
😭😭😭😭 hii kitu inauma
2026-07-12 14:54:47
147
annienaomy3
Sazasweetheart❤️🦅 :
NimeliaaSanaa😭😭😭 japo sikujuw polee Sanaa tupo pamoja mweee mungu huyuu sijuw anatuwazia nn😭😭
2026-07-12 09:18:36
531
rebeccaemmanuel482
Reby♌️ :
Mungu awe mfariji wako 😞
2026-07-12 16:06:39
65
floridadavid4
QueenFlorah👸🥰🇰🇪🦋 :
🥺🥺🥺💔💔mungu nilindie wangu juu sijui kama nina moyo wakuvumilia Hali kaa hii pole Dada mungu akuonekanie
2026-07-14 16:17:17
5
akwilinembesha
akwilinembesha :
Sina Mume lakini naogopa
2026-07-13 18:41:50
19
annet.massawe
Dolars Queen :
Eeeeh Mungu nilindie huyu jaman naogopa🥲🥲
2026-07-16 16:51:43
6
lucysamwel4
Lulu🦋🦋 :
Ilibaki kidogo tu ningeachwa na maumivu makali moyoni....asante MUNGU kwa kumlinda na kumponya mme wangu🥰🥰
2026-07-17 14:09:08
6
debora.yona.marco
Debora yona Marco :
poole mwaya mungu akutie nguvu
2026-07-15 13:33:16
6
user7690566150050
vinnha Liam❣️❣️ :
kimoyo moyo unasema asante mungu umeniondolea jonas🥺
2026-07-13 17:35:54
8
momo.girl011
Momo girl 💕💓 :
hii isikie tu Kwa mtu me naelewa maumivu yako me pia wangu nilimpoteza hivi ni miaka minne sasa ila Bado anaishi moyoni mwangu 😭😭🙏
2026-07-12 15:07:42
162
faithmarijan
faith marijan :
Mungu amtunze mume wangu ampe maisha marefu maana😭😭😭😭
2026-07-13 10:55:32
7
To see more videos from user @my_jg24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About