@wakalimusicoffici: 🎶 Kuna vipaji vinastahili kupewa nafasi. Bubby Wizzy ameifanya cover ya wimbo wa Zuchu “L.O.V.E” kwa hisia na sauti ya kipekee. 🔥❤️ Mpe sapoti dogo, ana kipaji kikubwa na anaenda mbali. Usisahau kutazama, kushare na kuacha maoni yako. 🌍✨ #BubbyWizzy #Love #Zuchu #Cover #TikTokTZ @AM THE BUBBY🌟 @SINGELI TRENDING 🎶 @blacklee.00 @officiallramatora @KWARO TV
wakalimusicofficiall
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 09:38:08 GMT
Music
Download
Comments
Jobres :
unanikosha
2026-07-14 12:40:09
0
Anko kiddy😎 :
buby wizzy🔥🔥🔥
2026-07-15 22:56:29
1
♣✨✨BANTA MC✨✨♣ :
Duuh kipenzi cha mademu zetu😂😂🔥🔥🔥
2026-07-16 10:08:38
2
official teddy :
acha basiiii 🥰🥰
2026-08-03 20:44:19
0
kei&Nun🥰❤️🦋 :
unajuwa brooo tena uko vizur xanaaaa yaani
2026-07-13 02:56:26
1
Offical xax! :
Ach iyoo
2026-07-15 16:33:12
0
Officiallramatora :
Am the bubby
2026-07-12 10:21:41
1
ummy layda :
nampenda san
2026-07-24 04:21:01
1
𝒞𝒽𝒶𝓂𝒶 𝖏𝖗 ❹➁ 🇿🇦 :
bubby wizzy 🔥🔥🔥
2026-07-24 04:56:12
0
øffìcîãl 🎧 lāmøh Tz💥🔥 :
nakubali noma sana
2026-07-14 04:36:53
0
💜🌸 AURORA 🌸💜 :
jomn
2026-07-23 21:10:57
0
Emmy🫦laulau😜👌 :
unajua
2026-07-13 12:13:08
0
👑 𝓓𝓮𝓮🧸𝓝𝓮𝓶𝔃𝔃 🇿🇦 :
Muziki hisia 🔥🔥✌🏿
2026-07-13 15:34:17
0
MUSH TALLENT :
unyama ap nataka kutoa kolabo
2026-07-20 17:57:57
0
Fetty Flavour123🥰💕 :
mashallah👌👌🥰🥰
2026-07-13 10:28:15
0
Halm de seph🥰 :
nakubali
2026-07-23 23:15:37
0
mamy lonly 😘😘😘😘😘 :
nakupenda bure jamn
2026-07-12 10:25:41
0
Reynawfat :
sikupingi nakubary team yangu🥰🥰
2026-07-13 05:19:15
0
zombie :
nakubali
2026-08-06 10:12:59
1
Habib cut :
nakupend
2026-07-24 11:31:08
0
visse_the_don :
wanangu mwenyezi mungu awaongoze
2026-07-25 23:03:51
0
Noureen Mgau :
ww ndio umenifany asaiv nipend singel ilikuw sna mda nazo asa ila ssa wwe ndio umnifany nipend singel
2026-08-11 13:26:21
0
nancial geniue :
Niandalia kolabo apo kwa heshima🙏🙏🙏
2026-07-24 14:00:51
0
Maria cute :
unaweza sanaaaaaa 👏🏻👏🏻
2026-08-08 19:00:19
0
wakalimusicofficiall :
Jamani mtagini zuchu 😂
2026-07-17 06:06:04
0
To see more videos from user @wakalimusicoffici, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.