@mjadalatv: Madeleka: 'Jumuiya ya Madola haijakosea kuitaka Serikali imwachilie huru Lissu ndani ya siku 30' Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameyasema haya Julai 11, 2026, wakati akitoa maoni yake kuhusu hali ya kisiasa nchini mbele ya vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.#mjadalatv #mangekimambi #tanzania

Mjadala tv
Mjadala tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 10:41:46 GMT
30491
1073
42
38

Music

Download

Comments

noreyn34
Noreyn :
mungu akulinde Madeleka wallah gombea URAISI Kura zako zipoo tena zitajaa mpaka chini
2026-07-15 05:07:54
1
jejevyuma
JEJE SANGA :
....letee babaa
2026-07-12 12:45:37
1
user616838287120
user616838287120 :
Samia amempa sana lissu umaharufu 💯 lissu ni jembe 💪🏿💪🏿💪🏿🐘🐘🐘🐘
2026-07-17 03:08:27
0
aishahabs01
Aisha Habs :
nkwel kabisa baba
2026-07-15 11:17:22
0
herry.mathias
pomonda :
daaah noma sana
2026-07-21 07:09:00
0
user9551363321676
user9551363321676 :
mungu akulinde unafaa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
2026-07-16 12:39:26
0
nungusaimon
Nungu Saimon :
hakika unajuwa kaka hongera sana
2026-07-16 08:08:08
0
user3677147147169
ndamila boy :
bro nakubal
2026-07-16 11:55:42
0
chimbo2026
NAWAPENDA :
uko sahihi angalia kwasikuteke Kaka
2026-07-18 17:16:53
0
kingkikizy1
Baba Mirlan :
Madeleka ni mungu wa pili namwita❤❤❤💪🏼💪🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 wachane baba
2026-07-16 15:38:30
0
jameskasuga
jameskasuga_ :
huudoukweli mungu nimwema tutafika mwisho
2026-07-17 10:47:43
0
emanuelsilayo405
Emanuel Silayo :
uko vizuri,haki itendeke maisha yaendelee
2026-07-16 07:45:16
0
gordiusmasillago
gordiusmasillago :
Hongera sana chief Mungu akubariki
2026-07-16 12:53:25
0
h.zeiyn
zeyn_19 :
ukweli kabisa'
2026-07-15 08:12:50
0
peterclavery630
MR PC :
ila madeleka mungu azikumtunza kabisaaaaaaa
2026-07-12 13:54:34
0
seif.kabelele
Seif Kabelele :
OK
2026-07-12 11:55:56
1
emmanueljaphety
ebay 001 boy. :
shujaa
2026-07-12 13:04:49
1
user5528582013840
abasi :
abalikiwe na mungu
2026-07-12 12:44:13
1
alexmbwambo908
Alex :
sahihi
2026-07-14 18:50:16
0
rajabu.msoke
rajab :
wanakuja be care.
2026-07-14 19:07:05
0
nicktruker
Nicktruker :
madeleka mwamba san
2026-07-14 22:01:01
0
m5572003
m :
Ndio watu tunawahitaji wenye mismamo na maisha
2026-07-14 23:07:05
1
stevenskasya
Stevens Kasya :
dat it
2026-07-15 05:23:39
0
user745214967199
user745214967199 :
mungu akusimamie na akurinde
2026-07-21 12:40:59
0
flaviusangelo7
Angelo :
Huo ni uoga wa ccm
2026-07-14 09:16:19
0
To see more videos from user @mjadalatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About