@alirouhaniyatspiritualtz: Kazi za watu wa asili hii ni wanamziki,watangazaji,ufundi wa vyombo vya umeme, falsafa, uandishi,siasa, utumishi, kazi za serikali na hujishughulisha na biashara zao ambazo huwaletea matatizo, watu hawa wanabahati ya kukutana na wapenzi wenye asili ya moto na wapenzi wao hunyanyuka kwa kupitia wao, watu rangi zao za kinyota ni kijani kibichi, bluu bahari, kijivu,rangi ya fedha, njano watu hao wanashauriwa kutumia vyakula vyenye utamu utamu mfano matunda yenye asili ya unjano na utamu na wanashauriwa kutumia manukato yenye harufu nzuri wanashauriwa watu hawa kwani hukutana na watu mbalimbali na elimu yao huwasaidia kufika mbali. na nyota zao ni mapacha, mizani, ndoo. Madini yao ni fedha, shaba, aluminium na mawe yao yawena asili ya ukijani, njano au rangi za kuvutia kwani nyota zao ni za kuvutia vile vile watu wa nyota hii wanashauriwa sana wakae sehemu za mwinuko au sehemu zenye uwanja mkubwa au pembezoni mwa mji watumie hizi kustarehe na wapenzi wao kwani wapenzi wao wa majanga utafutaji wa pesa unahitaji akili nyingi na utunzaji japo ni watu wa kutoa toa pesa hovyo. Mafusho ya nyota zao ni kachiri, mushtaka na miatusaila kwa watu wenye nyota ya ndoo na siku zao ni jumatano kwa mapacha, Jumamosi kwa ndoo na ijumaa kwa mizani kinyota watu hawa wanashauriwa kuwaunganisha marafiki kimapenzi kwani nyota zao ni nyota za kukusanya watu, wanashauriwa kuvaa nguo zenye kupendezesha na kwenda na wakati na mavazi yao mara nyingi yawe ni rangi moja na wanawake wao wanashauriwa kuvaa mapambo sana na viatu virefu, na wanawake wao wanashauriwa kutunza nywele japo hawapendi na mikoba wapende kuvaa. wanashauriwa watembe kwa mwendo wa madaha kwani huwafurahisha wapenzi wao na wapende kuwasemea sauti za chini na kuwaliwaza wawashike wapenzi wao vichwa,shingo zao na masikio yao na wawaminye minye mikono yao watawafurahisha wapenzi wao na washughulike sana wanapokuwa faraghani na wapenzi wao wawashe redio kwa sauti ya chini, muziki wa taratibu au nyimbo zenye kusikitisha na kuonewa, wawashe feni kidogo pembeni, na kwenye falagha wawasifie wapenzi wao kwani huwafurahisha na kuwapa chochote wanachotaka watu hawa hupendwa na ndugu wa wapenzi wao#tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights #kikaniki_tz #1MillionViewsOnMyFirstVideo
Ali Rouh
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 13:21:06 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @alirouhaniyatspiritualtz, please go to the Tikwm
homepage.