@elly_na_uzazi: Hakika Mungu ni mwema na anafanya kwa Wakati sahihi hatimaye na yeye sasa ni mama Kijacho 🤰🤰🤰✅. Na wewe ni mwaka wa ngapi unatafuta Ujauzito hadi sasa na imefanyaje matibabu mengi Ila Bado basi Usikate tamaa , Mungu atafanya kwa ajili Yako . Elly Na Uzazi amekuwa akiwasaidia wanawake Wengi kupata watoto kupitia program mbali wewe piah Anaweza kukusaidia #usa🇺🇸 #usa🇺🇸tiktok #drellyafyauzazi #viral