@daudingo: jinsi ya kukaba kwenye efootball #efootballmobile #efootball2026 #efootball

Daudingo🧢
Daudingo🧢
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 14:11:22 GMT
167785
6340
104
189

Music

Download

Comments

panot.jr
panot jr :
me cn kikosi cheny cohesive strength nisaidie kwanZ ap kaka
2026-08-22 14:21:50
0
eliudnicolaus180
NICÖLAUS ELIÜD :
umeelezea kuzuia kwa kumutiwa kipa ila haujaelezea batton gan inatumika kumtowa
2026-07-14 12:12:35
2
jevar00
BUSINESS MANAGER💰 :
Formation gan nzuri kuingia division 1
2026-07-14 07:59:45
4
mjerumani.bey5
Mjerumani Bey :
Washikaji zangu wana niita mfalme wa kupaki Bus alaf hapa kuna kitu kipya nimechukua😁😁😁 twende kupaki BUS
2026-08-06 18:57:40
0
user2088027638481
williamnyatugara :
kaka hili gemu nalitafta sana niliandikeje lije
2026-08-09 23:02:44
1
carrasco_702
carrasco 702 :
Bro iv inawezekana mtu mwingine kukulushia mchezaji na kama inawezekana naomba unifundishe🤣🤣
2026-07-14 09:02:50
0
dee95638
Twax☠️☠️👍💯💯🫡 :
asante
2026-09-06 06:50:19
0
sinanisinani003
SIRASI 0038 :
sifungwi tena
2026-07-28 11:15:39
1
user6558154679617
Toxic Gang B :
cheza dvsn ai rank1600 kwend mbel ndio unifundish kukab
2026-07-14 13:21:19
1
wilisoni.issack
BRAY TMG :
nakubali kaka
2026-07-13 13:02:51
0
abuu.mkali.hussen
Abuu Mkali Hussen :
umetishaa sanaaa kaka
2026-07-13 17:06:45
0
westsidebenga
Muuza Vitambaa :
Salute sana man🔥🔥
2026-07-13 15:13:26
0
bray04371
toto tundu :
Hasante sana mkuu umetsha meanza kujua an🥰🥰
2026-08-20 15:38:57
0
hashimrashid87
Ghost Marine@$€} :
Ubaya Rb na LB wangu wotee ni attacking
2026-08-27 07:11:05
0
official_jzobrand21
jzo brand :
Nondo
2026-08-27 03:55:08
0
balih168
Ntabe :
game gani hii kaka
2026-08-21 18:18:11
0
icramusalma
Derrick juniar :
Michuano mingie kuachana na ligi
2026-07-20 10:17:54
1
im.francis24
I'm francis✅ :
upo vizuri je upo division gan make me nipo dvs 1 na nilikuwa nakusikiliza
2026-07-14 15:30:32
1
awaken.mxafii
𝘼𝙬𝙖𝙠𝙚𝙣_255 :
Oy kaka kufuta pass
2026-08-16 10:21:29
0
mr_selfish52
Thiago Nizho🎱 :
@Thiago Huncho🎱: Sote tunacheka hapa😂 lakini labda hatutaonana kamwe🥺. Popote ulipo nakutakia maisha yaliyojaa furaha. Amina
2026-08-11 15:34:26
0
williamally555
KING WAH :
napataje hiyo game
2026-08-18 05:12:24
0
chagaboy68
Chagaboy :
kaka upewe mauwa yako tangu nimeiona video yako sijafungwa kirahis
2026-09-09 15:33:34
0
cee_23fan
cee_23fan🔹 :
kufuta pass ?
2026-08-15 09:32:28
0
icramusalma
Derrick juniar :
Kusajili mchezaji unae mtaka unafany aje
2026-07-20 10:17:16
1
kyakatale25678544
kipenseli :
umeua
2026-07-13 17:48:48
0
To see more videos from user @daudingo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About