@salmamrisho1: Msafara ukielekea Katoro kwa jambo moja tu kujiandaa kwa ajili ya Send Off ya Monalisa Felecian Buyamba, binti wa kaka yake Silvester Buyamba, maarufu kama GSM wa Katoro. credit to @mc_nsena_events
Salma Mrisho
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 14:22:44 GMT
Music
Download
Comments
Upendo💛 :
Mungu km mimi hili limenipita bc wanangu baba🥺😳
2026-07-13 06:39:16
27
zaylee🦋 :
katoro vyumba shngp😊
2026-07-13 20:17:03
6
👑⚜️love ♋️ :
nihamie katoro sasa
2026-07-13 20:14:20
2
quite molel♥️♥️ :
soon nitakua hapo katoro🥰
2026-07-14 13:38:58
1
SALMATEE❤️🦋💍 :
@SALMATEE❤️🦋💍: Mpaka Muda Huu najichanga Mtaji wa kuuza uji asubuhi ndo kwanza Nina elf 5😭😭😭😭
2026-07-14 09:25:26
1
🅨🅞🅤🅝🅖 🅜🅞🅝🅔🅨 :
crown ni za dar tu
2026-07-13 14:47:45
2
Deborah Siyantemi :
hatari
2026-07-15 09:58:00
0
AL - Abbas :
wapi
2026-07-12 14:25:51
1
Elias💪 :
mmetisha kaka
2026-07-12 18:48:29
1
Kaniki JR 🇹🇿 🇰🇪 🇨🇩 :
Mbona sioni IST wala Crown 😅😅😅
2026-07-12 19:16:52
3
robina lukyaa :
hatari nimeona Kwa mc huku
2026-07-12 20:46:20
2
Kelvin Keen :
KATORO now inajulikana TANZANIA nzima
2026-07-13 20:05:47
1
Mode Deo :
tulibaki tunazishangaa
2026-07-12 20:04:01
1
alphan$ :
Sio kila misafara ni ya laisii 😁😁😁
2026-07-14 09:07:34
0
Kiana :
Nilijua tu hawa niwachimbaji 👌
2026-07-14 11:42:20
0
¤~nyemba...🚘😎🌍 :
😂😂aibu naona mim
2026-07-14 08:41:47
0
josia246 :
❤️❤️❤️
2026-07-12 19:42:49
0
masai ndwata✌️ :
😳😳😳
2026-07-14 14:21:07
0
oppraah🥰 :
🥰🥰🥰
2026-07-13 22:27:25
0
boniphace :
🥰
2026-07-14 19:36:09
0
🦋pretty-ever-🦋 :
iyo yambele ndo nilikuwepo🤣
2026-07-16 05:47:21
0
To see more videos from user @salmamrisho1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.