@angelstar199: Hauna mikosi wala bahati mbaya, fahamu hili kwanza vingine vitatiririka bila kutumia nguvu na utakaa kwenye usawa na mengi mazuri, watu sahihi na hali nzuri ✨ Je umewahi kutumia hii na ilikusaidiaje? #fyp #manifestation #cleansing #lawofattraction #alignment