aah Mimi natip aisee hizi buku buku zinasaidia mnoo
2026-07-14 02:06:38
4
user8062484614993 :
mi mwenyewe nailewa saana hii mkuu
2026-07-12 23:24:31
6
M15 :
naanza na boss wangu
2026-07-13 18:31:15
2
piopper model💕🏹 :
hata mimi nilijifunza hilo wakati nilikuwa waitress🥰
2026-07-13 15:32:53
5
Sele Stin :
Hi kweli inafanya kazi
2026-07-14 12:45:23
2
The Akili :
Ni sahihi aisee, napenda sana kutip au kuacha chenji
2026-07-14 12:51:37
3
Sally :
Nakuunga mkono kwa asilimia zote..lakin Kuna baadhi ya watoa huduma ukimzoesha kumpa tip siku usipompa ananunaa..hususan sisi wadada. Yani anajikaririsha kama ni haki yake kupewa tip😁
2026-07-18 09:00:38
0
henry :
Yeah this is really working bro
2026-07-13 19:05:14
2
mbao_nation :
Hii ni Fact
2026-07-13 21:57:21
1
Ozan :
bro ,unajua
2026-07-13 13:47:51
1
Kitukutu Pharmacy :
tip
2026-07-13 14:25:34
1
Athumani Labani :
mambo ya kizungu hayo bhna
2026-07-13 19:08:03
0
Engineer by Nature :
Unatoa siri😀
2026-07-13 15:58:50
0
John :
me huwa natip before sijala, unahudumiwa kwa haraka sana kuliko kawaida
2026-07-14 07:00:49
2
Kiongozi12 :
Tip ni nzuri sana haswa kwema mahoteli next time ukirudi kama chakula ni kibovu pia mhudumu atakwambia kama huwa unampa tip
2026-07-14 15:26:59
0
mr_planer♐ :
Offocourse! huwa inaleta impact sana 💯
2026-07-13 11:15:02
0
Aنwar :
babu unajua
2026-07-13 18:22:41
0
To see more videos from user @salim_masige, please go to the Tikwm
homepage.