@islamicswahilinet: UPENDO WAKO KWA UISLAMU UONYESHE KWA KUANDIKA "MASHA ALLAH". As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 16:06:36 GMT
43523
14295
2171
240

Music

Download

Comments

jamila.abdalla98
M.g :
mashaalah
2026-07-12 16:15:23
38
user8765678171653
Amisa :
allah akibar
2026-09-04 06:58:38
7
monah_9_
kheri_ scent ✨️📦 :
mashaallah ALLAH Awabarik waislamu wote na awaongoe wasiokua waislamu
2026-08-22 15:07:30
15
legmer5
Legmer :
Ngoja nianze kuwa serious na uislam wangu😢😢
2026-07-12 18:26:35
28
hadija.kondo7
Hadija Kondo :
Mashallah
2026-09-05 09:04:01
10
yunussjuma2
yunuss juma :
masha allah
2026-09-04 04:37:39
4
fatma.mtego
fatma mtego :
mashaalllah mashaalllah mashaalllah Allah awabaliki
2026-08-22 20:12:41
6
user8130134173039
Yusuphu :
Allah Akibru
2026-08-24 19:11:18
1
sairah.111
Official Rahma :
Mashallah jazakallah ❤❤
2026-08-24 20:09:30
2
queen_asha_1
Queen :
Maa Sha Allah
2026-08-25 02:58:26
3
97misszuu
miss zuuh :
maaxhallah
2026-07-12 18:59:05
9
user9612445241353
user9612445241353 :
mashaallah
2026-09-04 06:37:54
3
shabanijumaimani
Shabani Juma imani :
mashallah
2026-07-13 11:37:04
5
mzee.fikr
mzee fikr :
aminnnn
2026-07-12 17:21:04
5
user228061461799
user228061461799 :
Mashallah
2026-07-12 17:34:01
5
middoh.brown
middle blanta tz :
masha allah
2026-07-12 16:48:33
5
user16773008808zuuh63
💫✨ذؤحيرح🧕 :
mashallah
2026-08-25 07:35:33
3
h.shooter
H SHOOTER :
mashallah
2026-08-25 17:02:47
2
zulpha.zuuh
Zulpha Zuuh :
mashaallah
2026-09-03 10:10:51
1
swaumaman
palestine :
Masha Allah
2026-09-03 12:20:51
1
abdallahmohammedy1999
TamOG1999 :
mashaallaaa Allah
2026-09-02 19:08:26
1
williamsemazua
William@@@ :
Masha Allah
2026-09-03 19:41:37
1
user11630426723583
𝗞𝗛𝗔𝗠𝗜𝗦𝗜 𝗦𝗘𝗟𝗘𝗠𝗔𝗡? :
MshaAllah
2026-08-25 12:02:43
2
zena.adam1
sabra :
mashaallah tabaraka Allah
2026-08-25 18:12:20
1
daddywiaam
احمد :
mashaallah Mashaallah Mashaallah
2026-07-13 10:27:17
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About