we jamaa ni mnafiki sana hata fans wa Ronaldo hawako hivo
2026-07-12 20:15:41
2
Official Mayungajj :
alaf refa ci joão pinheiro au vip
2026-07-12 17:37:28
0
badranbadran229 :
ukiangalia vizuri angle referee alikuwa ameshaona na player hakuexaggerate it like alijuwa ni makosa yke foul za simulation zimepewa kwa anayefanya maigizo kana kwamba ni kweli
2026-07-12 19:43:03
0
m r m w a n y a :
utajuwa mwenyewe bana maana tumesha kuzoea
2026-07-12 19:46:40
0
Fredi0 :
ata anko alianza kam ww
2026-07-12 19:01:30
0
Mr credo😘 :
kweli kbisa ila, naku unfollow
2026-07-12 20:52:05
0
Mr seven :
unateseka sanà kijan 😊
2026-07-12 19:14:46
0
VALIANT MDAO🇹🇿 :
Bado hamja sema
2026-07-12 19:18:08
0
Rogers :
kaka Ronaldo anamzidi messi magoli,watoto, na mabeki 3
2026-07-12 19:42:59
0
Bādråø ūnstøppāblē🔷 :
sawa VAR
2026-07-12 19:14:06
0
Ndasco :
Mzee unateseka sana yaani
2026-07-12 16:27:12
0
Luqmani :
ivi kwanini messi anakunyima raha wew si uhame kwan team ni dini 😁😁
2026-07-12 16:28:04
1
mudryk :
si unamxhabikia ronaldo lia tena
2026-07-12 17:25:31
0
Golden Nsub :
mtajambaaa sanaaa
2026-07-12 18:05:13
0
@D one :
ni AI hiyo huon 😂😂😂
2026-07-12 17:41:00
0
kudra :
😂😂😂 Sasa team Ronaldo mnatim ngapi
2026-07-12 21:36:31
0
Ghost 👽💀 :
iyo ndy FIFA team
2026-07-12 18:16:49
0
Salum Takao :
watsema Ai
2026-07-12 18:09:56
0
Bādråø ūnstøppāblē🔷 :
refa mreno
2026-07-12 19:14:14
0
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm
homepage.