@jawaabtv: #creatorsearchinsights #tiktoktips #jawaabtv #jawaabtvupdates #ufumbuziwamamboyakiroho

jawaab_tv
jawaab_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 16:44:09 GMT
477672
29166
427
3108

Music

Download

Comments

faa69186
Faa❤️ :
Shekhe wacha nikufanyie hii kitu uwe wangu inshallah amin❤️
2026-07-13 08:52:57
253
reycute819
reycute :
Zuchu asiione hii
2026-07-13 09:18:15
131
mehari___
💞PHONIEX :
ilaaa ni kwa wanandoa jamani so kwa sisi wazinziiii ..😁😁
2026-07-13 10:31:25
78
wizzykhan20
wizzy khan💥💫 :
ulikuwa wapi kipindi sisi tunateseka😂
2026-07-13 07:37:36
93
nay48946
Nay :
ukweni wameisha
2026-07-13 13:33:41
30
dmge016
d@mge :
yakariim au yakarib naomba jibu
2026-07-13 08:50:46
26
icequeen.84
Capricorn ♑️ 🐐 ♥️ :
huyu shekhe nampataje nahitaji dua
2026-07-13 21:50:28
4
yaya.brownsugar
🩷🩷🩷Th3 PR3SID3NT 🩷🩷🩷 :
Kuanzia Leo nikiletewa Zawadi sukari au anything sitaaaaaki nyieee
2026-07-23 15:51:44
3
amina.hassani188
aminahassani197 :
na anaetaka kuachwa iyo iyo au🥹
2026-07-13 10:16:31
6
lightness792
Lightness❤️ :
iyo ya Karimiii kama hautijuii tufanyaje
2026-07-13 05:21:57
14
saphinahamidu122
Seyfer dylic :
Leo shekh umeisha nishaanza kazi mie 😁😁 leo utakua wangu
2026-07-13 08:32:29
18
amina34972
Amina :
ya Karim???
2026-07-12 21:54:02
11
shinerashid1
shinerashid1 :
I don't understand Swahili language very well, but EX WANGU AKIJA AKIONA HII NIMEKWISHAA😳
2026-07-21 11:52:12
2
sweetnoory
sweetnoory :
kuna jina la mungu yaa karib mhh
2026-07-13 09:34:20
1
salimfatma415
sashay Beyonce :
kama mtu yuko u.s.a je wafanya vipi
2026-07-13 07:36:58
9
user8030488257814
stella :
jaman naomb ushaur kwanin nikumpenda mwaume lazma niwe nae nanikishamuonja bs ten nakuw sin ham nae ten
2026-07-14 21:27:57
2
user65623574102913
user65623574102913 :
mimi kuna Mtu simpendi nifanyaje kuachana nae na ananiganda kweli
2026-08-21 18:37:16
1
khalifahumoud
Khalifa :
januar akiskia mambo hayoo anacheke saaanaa
2026-07-13 03:43:07
6
its....momyazy
Nally.Kings :
Shukrann hakuna kutumia nguvu yaan
2026-07-12 18:21:15
5
really.meeh
really meeh :
ni hilo neno peke ake ama kuna nene mwendelezo naomba kufahamishwa
2026-07-12 23:35:04
4
ms_ruth6
Ms_Ruth_g🇹🇿 :
Shekhe Mashallah ume amua kutoa kodi kwa vijan tutakoma 😁🙌🏻
2026-07-13 18:10:18
1
labby_labby
🐻 LABBY LABBY 🐻 :
Mpenzi anaenisumbua pia Anaitwa Kareem
2026-07-14 18:09:37
0
ninohmundhiri
🌸رحمة منذر :
nakama hato kila icho kitu inakuaje
2026-07-15 16:05:47
0
user43045568325
Rehema :
kaka naomba msaada wako
2026-07-14 19:47:33
0
special1494
Jureij :
يا قريب
2026-07-12 22:35:23
0
To see more videos from user @jawaabtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About