mungu naomba unibalik ata mume anae pumuwa tu hiyo itakuwa eshima tosha
2026-07-13 05:37:47
20
Nelson Njuu :
kwaiyo tiktok yote ni monalisa
2026-07-13 17:59:07
8
Othman Twalib :
Salout
2026-07-13 17:24:41
1
user2119708219761 :
Mungu nisaidie na mimi nipate hela
2026-07-13 17:33:14
5
Magret Massawe :
huyu Mungu jamn atukumbuke na sisi
2026-07-13 17:13:04
2
Esq➡️ :
tunasajili
2026-07-13 17:32:56
1
edina :
hiiiii nilijua suppermaket apo hahhah😂😂
2026-07-13 17:49:55
2
Elizabeth :
e mungu mubariki hata mume wng
2026-07-13 13:21:15
2
joemwaisa6 :
Tumetiii jamanii mtusamehee 🙌
2026-07-13 12:29:44
7
olivar :
ila jamani wasukuma katoro inatuwakilisha
2026-07-15 04:53:37
0
@Dan boy✨️ @gmail.com 💫💥😃🦒 :
ticha umependezaa😀😀😀😀😀😀
2026-07-13 21:31:50
1
Jackson :
Hii yakipekee 2026
2026-07-13 12:08:53
1
mjeuri :
kweli mmewwza kuipromot katoro
2026-07-13 17:33:55
1
BELLA STORE :
wengine tunatafuta pesa jpo laki 3 tu yamitaj ila Mungu 🙌🙌
2026-07-13 10:08:15
3
Agnes Anthony :
siyo mchezo
2026-07-13 18:23:40
0
Loveness J Mulinda :
Kuna watu wanalala njaa mjue
2026-07-14 10:58:46
0
ADIRIAN CREMENS :
kufuru hiyo kaa mkijuwa nyie mnakula nakusaza wapo wanao lala njaa ata dafutar na ada pia kalam ya watoto kwenda shule wamekosa, mtu ata mia ya panadol hana jaman
2026-07-14 18:43:14
0
Magreth Malembo :
mmetisha katoro jamani inatosha
2026-07-13 18:46:56
1
Salma Hussein :
jamn wasukuma mmeshindikana sasa
2026-07-13 12:19:29
3
Stanley Myombe :
labda itatokea ila kwahii shereh the no 1"
2026-07-13 13:28:28
1
Joel Mganga :
mimi nimezaliwa katoro nimesoma hapo ila sasa ndg zangu mnatisha kwa matumizi
2026-07-13 17:25:26
2
Nayla_ :
me najua kabisa mama yangu hapo hakosekani
2026-07-13 07:22:34
1
Manager Jay Professional :
mamaee hivyo vinywaji vyote ni buree kwajiri ya harusi🙌🙌🙌
2026-07-13 14:04:01
5
To see more videos from user @steve_de_hyper, please go to the Tikwm
homepage.