@uisilamu.na.tiba: #tanzaniatikitok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼

doctor ruqiya marijani
doctor ruqiya marijani
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 18:15:25 GMT
16886
591
67
218

Music

Download

Comments

user6193626039619
Maya Productions :
asalam Aleikum lakini hizi nyumba zetu za zamani sana na mazingira machafu panya wako nje kisha usiku wanakuja ndani kutafuta chakula na hawa lizards pia wako wengi hizi nyumba za zamani yamanisha nini?
2026-08-22 18:36:36
1
edna.jackie
Edna Jackie🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
mganga wa kweli Ako kitui
2026-08-18 14:03:59
1
7by_qifdyz
Qifdyz :
ustadh juu ya paa langu kunakuwa na kunguru wengi san usiku hii inamaa gn
2026-09-08 23:01:37
0
neemat.ali67
Neemat Ali :
wallaikum Salam waramatul wabarrakatul nakupataje kk
2026-08-06 22:06:51
0
hawamamdina
hawamamdina :
Yan hayo mamijusi mengi mno
2026-09-10 04:49:47
0
hassanmwafrica185
hassanmwafrica185 :
nikama hao viumbe kwangu wametumwa kila siku nawaona tofauti tofauti
2026-09-01 07:46:04
0
iscofernandez26
SCAR FACE🇹🇿🧟 :
paka je
2026-08-29 11:48:56
0
jackline.atieno28
Jackline Atieno🇰🇪🇦🇨🇦🇺 :
mganga wangu Ako kitui
2026-08-09 12:16:19
0
user4225570816695
TikTok :
kweli nifanyeje
2026-07-15 08:57:04
0
jumangombo782
Juma Ngombo :
mjusi mie wako weng nyumbn na dukan ila wakiniona Mimi hukiambia halaka
2026-07-16 10:25:50
0
salehjuma12
Ma Bwaay. :
Vilamba sukari vp
2026-07-20 18:50:05
0
regineidaya
Regine Idaya :
asalam alaikum wallahi matullahi wabarakatuh cheikh. mimi nyuki jana ilikuja kwenye nyumba yangu ilikua nyuki moja igekuja mpaka ndani mikononi mwangu. heli nishali
2026-08-29 09:52:26
0
uisilamu.na.tiba
doctor ruqiya marijani :
naam
2026-07-13 12:19:21
0
shibo.bey
shibo bey :
mwanangu ndan chumbani anasema anamuona mdudu muda mwingine anasema mjusi baba na anajificha sura
2026-08-13 18:43:02
0
buhit07
buhit07 :
shukran na warsp dungu ya nyuki
2026-07-12 20:54:35
0
habzooni
habzooni :
Mimi nyumbani kwangu nilimkuta washawasha chooni alikaa kama siku saba nilizani amekufa nikaachana nae baadae akaja washawasha mwengine alizunguka mwisho wa siku akaenda akasogeleana na yule wa kwanza nikaachana nao nikasafiri siku mbili niliporudi wote sikuwakuta sasa apo sijawaelewa.
2026-07-20 17:52:58
0
rukia.mnzava
rukia mnzava :
sawa shekhe dawa yake nini
2026-07-23 08:47:16
0
uisilamu.na.tiba
doctor ruqiya marijani :
je
2026-07-12 18:35:13
0
aishamohammedsele
Aishamohammedseleman :
Assalaam aleikum kaka chumbani kwangu gafla kuna mende wado wado san walipo tokea sijui
2026-09-13 12:52:56
0
paulokafumu52
paul kafumu :
teacher nishafika
2026-07-13 09:05:58
0
hawaasha37
Hawa Asha :
sasa miyee Ni fanye je Mimi nateswa naivyo viumbe
2026-09-11 05:26:41
0
munitz7
munitz :
mdudu sukar kwenye sink huwa nashangaa
2026-09-07 11:05:47
0
user6878759409811
Nday Îrine :
Mimi nakumbuka sikumoja irikuja kuki mweusi ikarara na kuku zangu kuamka asubuhi nikayikuta uko mahari peke yake hakutoka inje kama kukuzengine inamanisha nini?
2026-09-14 00:52:13
0
fahadsaeed1352
King 👑 Fahad :
mende wengi wako kwanyumba
2026-08-11 22:34:33
0
ahmadrajab2260
ahmadrajab2260 :
kwenye Mendes ndo wanakuwa wengi
2026-07-14 07:03:48
0
To see more videos from user @uisilamu.na.tiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About