@mr_mangapi: (Matendo ya Mitume 11:26) Hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia....... #ugandatiktok🇺🇬 #trendingvideo #flypシ #kenyantiktok🇰🇪 #goviral
𝐌𝐑 𝐌𝐀𝐍𝐆𝐀𝐏𝐈
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 18:39:46 GMT
Music
Download
Comments
Abuu Zeinab :
Shkran
2026-07-13 18:13:10
0
macoxone :
You made my day ,.Thanks for a good message 🙏❤️
2026-07-14 16:08:32
0
user5197563695669 :
Asante
2026-07-13 16:27:35
0
Berblly Hb :
duh, nataka kuslim mm
2026-07-14 07:22:55
1
mshua P.Josee :
YES UPO SAHIHI
2026-07-13 06:55:52
2
Adam Mj :
Hawakupachikwa wanafunzi wa Yesu bro,wanafunzi wa Paulo pale Antiochia,,,Biblia Matendo 11,25
2026-07-14 09:00:59
1
msangama h m :
naomba kujua kabla yakuitwa wakristo walikua dini gani
2026-07-14 07:13:40
0
Nowell Hallan :
kuitwa wakristo siyo dhambi na mtu hata hukumiwa kwasababu anaitwa wa krito
2026-07-14 15:15:31
0
miaka buku :
endelea unakaribia
2026-07-14 14:57:24
0
Manyessa Wisdom show :
AMEEN, TUJITAHIDI KUMTAFUTA MUNGU WA KWELI KARIBUNI KWA PROFILE YANGU TUMTAFUTE MUNGU WA KWELI
2026-07-13 11:42:20
1
shekh salim :
uk sawa kaka mungu akufanyie wepe
2026-07-13 18:44:41
1
Ndibwa :
Swadakta
2026-07-14 08:55:13
0
Dr.Edo :
balikiwa Sana mtumishi🙏
2026-07-13 06:12:39
1
alexander :
Nayapenda sana masomo yako Mungu akubariki sana.
2026-07-12 19:08:15
0
user8415681030776 :
hawatakuamini watasema ni AI
2026-07-13 18:47:27
1
DUDUMBAVI :
KWELI KABISA kaka
2026-07-14 07:18:35
1
koza handsome :
ukweli
2026-07-13 15:27:41
0
Adam Mj :
Hapo Yesu alishaondoka takriban miaka 14
2026-07-14 09:01:34
0
adam sadam :
WATAELEWA tu ilishatabiriwa uwislam kuutawala ulimwengu Kwa hoja na dalili.
2026-07-14 06:57:33
5
Philip steven :
imebidi nikufollow
2026-07-12 19:21:13
0
kofiann :
amen Amen Amen🙏
2026-07-12 20:26:37
0
Jacques Dol :
sauti
2026-07-12 18:48:56
0
KOMANDO WAYESU :
nice🙏🙏🙏
2026-07-12 20:59:18
0
l'homme fort :
kwanini munakosa elimu kuusu swali ya ukristo? wanafunzi wa yesu kristo ni wakristo. kwasababu ni wafuasi wa kristo,
2026-07-14 07:50:34
0
jilas :
ata wangeitwa wa Mungu akuna shida
2026-07-13 06:55:41
1
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.