@dramazone_tz: tazama kombolela ya mwisho mwisho leo july 12 🔥

dramazone Tz
dramazone Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 July 2026 19:06:41 GMT
24762
1068
38
67

Music

Download

Comments

kisura.rose
kisura rose :
ama kweli hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
2026-07-12 19:54:28
10
user3934578787392
Happy :
Duh🥹🥹
2026-07-13 15:41:27
0
_shillahbabe
Ester Shillah :
mmemuona mashunda lkn kweli mama ni Mama tu🥹🥲
2026-07-13 07:39:21
14
masha.john2
Masha John :
siwa na mwadawa wanataman sana ndoa
2026-07-13 12:32:38
1
mrsjini01
Mrs jitupori 🥷🥷 :
hakuna gumu linaloshindwa na MUNGU tusiache kumlilia mola Kila hatua tunayopitia🙏
2026-07-13 17:17:35
5
kael45991
kael faruq :
hvi imeisha ama
2026-07-13 17:31:16
0
zuuseif2
zuu.official4 :
Ila jamani ningumu sana kumchukia mama
2026-07-13 12:43:05
4
mwajumamohammed14
mwajumamohammed14 :
mwisho wa ubaya aibu wallah
2026-07-12 19:40:58
4
trice.saraphin6
@trice.saraphin :
Aijalishi mzazi ni nani na amekufanyia nini still atabaki mzazi wako🥹 Mashunda amefanya jambo zuli sana🫡🫡
2026-07-13 09:12:52
4
antime23
Anti me❣️ :
kwenyee hii episode kombolela apewe tuzoo kubwa mnooo
2026-07-13 11:25:55
5
babyrey153
Baby Rey🍏🍒 :
Chiku kabutua haswa
2026-07-12 20:23:38
5
emmy.love90
Miss Emmy👩‍💻❤️🤎 :
Tukae kama hayupo😂
2026-07-13 06:17:30
6
nasrun2587
❤️ بنت سعدية ❤️ :
ila kobis kabadilika 😂
2026-07-13 12:31:47
3
zuuseif2
zuu.official4 :
Ngoi anacheka tu 😂😂😂
2026-07-13 12:39:35
4
user47821071974218
REYMA DE QUEEN OV PEACE :
mbona ana nyolewa upaa jmni...??!
2026-07-12 21:29:40
3
shadyachimgege
🤍shadyer 🩷 :
😆😆😆
2026-07-13 13:47:15
0
ameenatanzania
ameenatanzania :
Ila inaisha na utamu wake
2026-07-13 19:52:46
0
farida.simba6
farida Simba🦁 :
sasa jamani Nini hatma ya yule nyoka🙆
2026-07-13 16:16:01
2
jr175585
Jr🦋 :
Nimesahau kama niko ukweni😂😂😂
2026-07-13 20:52:36
0
shannyvi
Nis-p❤❤ :
hii movie inatak kuisha kila mtu anakua mwema
2026-07-13 15:15:08
0
manfeda3
manfeda3 :
Ngoi🤣🤣🤣
2026-07-13 18:06:57
2
miss.geezy
Miss.geezy :
Kwan mganga yuko wap😂😂😂
2026-07-13 23:01:25
0
nainah_33
Nainah✨❤ :
ila ngoi😂
2026-07-13 14:40:48
2
user20866087122735
Bénédicte Burungane :
Sasa balebatabakiyapale aye badi
2026-07-13 08:03:17
1
nassrajuma3
nassrajuma3 :
🥰🥰🥰
2026-07-13 04:19:46
0
To see more videos from user @dramazone_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About