😂😂😂😂😂uuuuuwiiiiii mayeboyebo si juzi tu apo!! unakutana na mwamba yupo mbiooo shat imefungwa kifundo kimoja na kaptula imeshikiliwa na mkono isivuke mtu yupo mbio na ndege yake ni humu tu🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
2026-07-19 06:22:53
22
Mr_Michael06 :
I always remember my childhood, huwezi kua na tabia zaajab ukiwa umekuwa katika maisha yale.
2026-07-13 07:50:40
54
Jenipha Jonas :
woi nilikuwa naburuzwa tokea tindigani mpaka home karibia na stirio kijenge hiyo ..hiyo kilio natoa utadhani naenda kuchinjwa😂
2026-07-14 10:57:26
11
Maah Geeh 🧸🎀🌸 :
wale wa bwawa la mavii 💃mimi cna hamu nalo limenipa alama ya maisha nilianguka sitasahau 😅🙌🏻
2026-07-15 21:34:44
13
official_chuga🤫 :
aise Chali unaongeaga maisha ya kweli
2026-07-13 07:08:41
68
kevy amani :
hahaha wewe ndo og ase nimekubali
2026-07-12 20:25:17
33
Tailoredby_gee :
kuna ile ndege unaitengeneza na jani la mti wa elimu, lile jani ni gumuujamanii😂😂linaenda kama ndege ya ukwelii😂🤣🤣ila utoto🙌
2026-07-15 11:33:12
5
Rozi :
me fimbo zilinivunjikia zoto ikabid mama anipige mateke😂😂
2026-07-16 16:24:38
4
martha guse :
😅😅 daah tunatokea mbali saiv hawachezi jaman
2026-08-13 08:25:36
1
allyymwarabu :
watoto wa 2000 hawaezielewa icho kipigo kama umeua
2026-08-09 04:54:46
0
Carister🥰♥️ :
Wale walioendesha migomba ya ndizi kwenye mteremko like hapa🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣
2026-08-12 10:12:40
1
rebeca :
hahahah wachache ndo watakuelewa broo nimekumbuka mbali sana
2026-07-26 04:47:26
1
Mr_Kikofia🧢 :
masafaaaaa
2026-07-13 06:53:49
4
Alex damian :
alooo mbaliii sanaaa mkuu
2026-07-13 06:54:15
7
Laylaz Sliizy :
2026-07-13 06:42:11
3
BizzyDaughter❤️ :
na kuna zile kata upepo za majani ya muembe unalichonga jani alafu unaweka ka kijiti unaanza mbio duuuu aise zamani sana😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-15 09:27:23
4
Felista John :
2026-07-13 06:35:26
2
mansour :
😁😁😁😁sawa bhana da!😂
2026-07-13 08:31:41
1
Boss.Ya.Mboka :
watoto wa saivi wanapelekwa kucheza...sisi tulikua tunatoroka tunaenda kucheza mtaa wa 22 huko,,,Leo unapigwa ila kesho saa11 asubuhi mbio mbio unarudi kucheza 😂😂
2026-08-05 20:53:27
1
💞..eglah🦋🦋19 :
owaa vititia vile wakuu ni raha kinyama tuliopitia tunaelewa🥰
2026-07-20 21:39:36
3
To see more videos from user @sparrow95.0, please go to the Tikwm
homepage.