nilichoka kulia sasa ni Alhamdhullah....tunaoamin ipo siku Mungu atakupa furaha ya milele tuseme Amin
2026-07-13 12:49:49
423
hazla baby 💖 :
naamin mungu ipo siku naa mimi atanipa mrejesho wa machoz yangu😭😭😭
2026-07-13 11:41:57
190
Saida🧕🏻 :
Kuna huyo ex wang sahii analalamik nimsamee mambo yake hayaend lizk hapati kama alivyokuwa na mimi yan tafrani🥺
2026-07-13 16:16:30
24
mama suuh 💙 :
sheikh nimekosa mpak cha kuongea 😭😭😭 Allah azid kukupa upeo mkubwa wa kufahamu maumivu yetu sis wanawake
2026-07-13 10:33:27
117
bintisaid💖💞 :
watateseka wengi sana
2026-07-13 09:38:16
85
💥fatyma💥 :
waosema sheikh kaongea ukweli tujuane kwa comment 😔😔
2026-07-14 08:00:53
9
꧁𓆩Saliel𓆪꧂ :
Kweli kbs mimi nililia akapata ajali
2026-07-13 13:12:20
36
Avni❤️🩹🎈 :
Naaaam sheikh na laana ziwafike haswaa ameeen ya rabbi
2026-07-13 15:48:33
4
ᴍʏꜱᴛɪᴄ♏ :
Mimi sina la kusema ila Mungu yupo na anaona yote niliofanyiwa ipo siku atanilipia nimemuachia yeye
2026-07-13 11:21:14
37
suzynicks :
My God act through the tears of pain I have me crying 😭😭💔
2026-07-13 19:34:01
1
mamymussa :
Aise mpaka nalia 😭😭
2026-07-13 15:17:53
1
jazeera728 :
Bora ata umeongea SHEKHE
I LOVE YOU VERY MUCH
ALLAH AKUZIDISHIE HEKMA/Afya
2026-07-13 18:29:51
1
bint omar :
natafta comment ya mwanamme ila hamna
2026-07-13 21:57:11
3
Zakia Kamgisha :
kweli kabisa m mme wangu kanipa talaka kwa makosa ambayo sijafanywa akyamunhu mungu atanilipia atasota san m m m
2026-07-13 10:33:47
22
Meyda Fashion :
Kuna kijana aliahid ndoa na akanipotezea malengo yangu baadae Shwaaa akaowa kwengine yaan nililia na mungu wangu bas mpaka leo maisha ya huyu kijana yapo ovyo kabisa na naomba mungu amzidishie misukosuko
2026-07-13 15:01:29
16
Cairo_.girl :
mungu atatulipiya
2026-07-13 09:58:16
14
SAMASA PRODUCT CHILI :
inauma
2026-07-13 11:37:20
10
30 :
Ndio maana saiv rizki zote kubwa zmehamia kwa wanawake 😭😭
2026-07-13 19:06:53
8
Nasha beab🇰🇪🇧🇭 :
Mimi nililia machozi yangu yote na kumuelekeza mungu ,Wallah huyo mwanaume anateseka sahii🥺🥺
2026-07-13 15:39:13
8
ayshabintijuma :
eeeh mungu akusaidie sheikh
2026-07-13 10:46:19
8
🦋M.A.M.U💛✨🥰🌸 :
InshaaAllah Mungu Analipa Apa Apa Duniani wakt Utafika Tu🥺🙏
2026-07-13 19:12:53
9
Coffee en milk☕ :
Alhamdhullilah Dunia ni mapito pia nasema Tena Alhamdhullilah wala Sina mengi yakusema Alhamdhullilah
2026-07-13 10:56:04
9
Mr.sayu :
wazi shekh wangu sahihi kabisa aise
2026-07-13 10:51:47
11
nay🙏 :
octazi nmelia sana hadi ssa sinamachozi walah nimemuachi mungu ninefunga pia nimemkabizi mungu
2026-07-13 10:27:29
15
To see more videos from user @jawaabtv, please go to the Tikwm
homepage.