@mwl_wa_wataalam: Mkuu wa Kazi Anasema Ukitajirika Kupitia Mshahara Umeiba 😂. Sikiliza Mpaka Mwisho. KUMBUKA: Mfumo wa 2026 In 90 DAYS Unakupa Hatua 3 Za Kufikia MALENGO Yako Ya Mwaka 2026 Ndani Ya Siku 90 Pekee. Community Ya The Chosen 100 Imekaribia Kujaa, Zimebaki Nafasi 19 Tu Kati Ya 100. Ili Kuwahi Nafasi Yako Comment Au Ni-DM Neno "THE CHOSEN 100" Ili Kupata Nafasi Yako Ya Bahati. Cc. @m_spodcast_ #2026in90days
mzee kuna mzungu huku mgodin analipwa milion mia saba kwa mwezi
2026-07-19 11:42:38
26
Mozzi3 :
use salary as a capital in a business essential kama nafaka or fuga afu pruphing back of profit tena na tena mpka mshahara uwe ni secondary source ila inahitaj discipline na ufatiliaj sana ila the more u grind the better it grows
2026-07-19 14:42:23
1
ISSA ISSA :
mbona mess ronado matajiri wanaripwa mshaara
2026-07-19 12:16:35
15
@azzak :
hiyo biashar utaipat vip kam huna mshahara
2026-07-19 08:45:36
17
similtone609 :
hata raisi hawezi kuwa tajiri bila wizi
2026-07-19 09:23:17
9
kainiucrew🇹🇿 :
Kuna mwajiriwa anaitwa cristiano ronaldo
2026-07-19 11:08:04
10
msouth monster 👹 :
bro kwel amna mtu alie tajirika under control
2026-07-19 09:10:41
0
Eng Badi :
sasa watu wote tukiamua kufanya biashara nani atanunua kwa mwenzake..???😳
2026-07-19 13:28:36
5
inocent chagula :
choosen100
2026-07-19 05:51:12
0
AFRICAN KING👑 :
nini maana ya utajiri?
2026-07-19 10:00:32
3
Madigison :
kwan nkichukua mshahara 70% nkaeinvest source ya utajir wangu inakuw nn
2026-07-19 14:40:16
7
josephtesha00 :
ukisha ajiriwa niutumwa moja kwamoja
2026-07-19 11:52:46
2
Jelemia Malema :
kwani ili uwe tajiri unatakiwa uwe na shingapi?
2026-07-19 11:37:38
1
Ngolle spare part & hardware :
mbona mimi nimeajiliwa na kipato changu aslimia kazaa na investment katka duka langu
2026-07-19 18:04:48
0
BL :
tatizo mnaipenda dunia sana na kusahau akhera, ata upewe Dunia na vilivyomo huwezi ridhika. ukiwa na moyo wakukinai utaishi vizuri sana zaidi ya huo utajiri ... kikubwa ridhiki upate kwa wapesi na iwe ya halali
2026-07-19 14:51:02
1
D.O.M.I :
Kuna ajira zinakupa utajiri..mfano uliza mshaara wa production manager kweny viwanda vya tobbaco..na Kuna ajira azukupi utajiri ndio govment..
utajiri ni mfumo..na sio biashara wapo wafanya biashara wengi sio matajiri
2026-07-19 05:46:56
1
Big Banks :
Acheni kupotosha watu. Kama mtu unalipwa mil 30 kwa mwezi. Utashindwa kutajirika ??
2026-07-19 10:48:57
0
Jacob Abunuas :
mtu na nani jisemee mwenyewe bhana
2026-07-19 12:34:09
2
patie :
wanaongeaga hivi mara nyingi wameajiriwa. so sad
2026-07-19 13:04:35
2
UFO-320i :
Tuanze na definition ya utajiri kwanza wazee
2026-07-19 13:18:57
1
donie :
je kwenye uwanajeshi kuna biashara gani?🤔🤔
2026-07-19 13:24:26
1
Paul Laizer :
Utajiri ni tabia it’s a habit na ni bahati pia ndo maana matajiri sio wengi. Basi fanya biashara acha kazi uwe kama Dangote, Moo au Bahkresa. Ewe mtanzania usiwe too much inspired na hawa speakers utapotea, kama huna tabia ya utajiri ridhika tu na ulichonacho kikubwa unapata all the basics needs for you and your family ..😁😁
2026-07-19 16:10:40
4
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.