@wizara.ya.ardhi: KODI YA PANGO LA ARDHI ILIPWE BAADA YA SIKU 90 ZA KUPIMWA KWA KIWANJA Afisa Maendeleo ya Ardhi, Halmashauri ya Mji Makambako, Bi. Flaviana Mamkwe, amewataka wananchi kuhakikisha wanalipa Kodi ya Pango la Ardhi baada ya siku 90 tangu kiwanja chao kipimwe ili kuepuka deni la kodi hiyo kujilimbikiza. Amefafanua kuwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ndiyo yenye jukumu la kufanya makadirio ya Kodi ya Pango la Ardhi na kumtumia mmiliki wa ardhi ankara ya malipo huku akisisitiza kuwa Kodi ya Pango la Ardhi ni tofauti na Kodi ya Jengo, licha ya wananchi wengi kuzichanganya, kila moja ina madhumuni na utaratibu wake wa kisheria. Bi Flaviana amesema hayo Julai 8, 2026 Mjini Makambako, wakati wa mahojiano na kituo cha redio akitoa elimu kwa umma kuhusu wajibu wa wamiliki wa ardhi.
WIZARA YA ARDHI
Region: TZ
Monday 13 July 2026 06:58:44 GMT
Music
Download
Comments
mawigi :
mbona mnatutafuta sna
2026-07-14 09:22:20
11
rajaburusambili :
Asiye kuwa na hati atalipa kwa utaratibu Gani
2026-07-14 06:44:46
5
memoo.py :
silipi
2026-07-13 17:52:11
2
mtonga hasheem :
hovyo kabisa kama apa dodoma kufuatilia hati mbk unakata tamaa
2026-07-13 14:01:43
3
jumasalum :
ivikwann Tanzania kunamambo ya ajabu sn kilasiku kunawatu wapo kwahajili yakuwaumiza wezao tu.
2026-07-20 19:57:34
4
Kea Juma :
Mimi silipi hata 50 Ardhi ni ya mungu sio serekali
2026-07-28 22:03:51
1
Genious Refrigetion :
nyie niwezi mnatuibia wazi wazi ipo siku itafika mwisho
2026-07-16 12:24:56
2
Larry :
nchi hii Haina viongozi kila mtu anaamka na matamko yake
2026-07-14 19:12:55
2
Maulidi Hussein :
Ushahuri wangu mngeanza tena upy kupima viwanja na kuwapa wananchi elimu ya hapohapo na kuwapa control number ili waweze kulipia maana wananchi wengine bado hawaja elewa juuu ya ili zoezi la kulipia
2026-07-21 19:11:41
1
sarah ibrahim :
Kuna mataifa raia wanapewa viwanja bure na wakiandamana wanajengewa ila bongo kiwanja ununue bado ulipie kiwanja ambacho hujajenga hii ni maajabu ya dunia😳😳😳😳
2026-07-31 08:24:31
0
hasanimujitaba :
Hapa ndio unaelewa kuna haja ya watu timamu nao kushiriki siasa laa sivyo tutauzwa aisee.
2026-07-24 01:50:55
1
💥~••°B@TÚL¥°••~💥 :
kooo ni viwanja vilivyopimwa tuu Kwa tulio nunua vya watu jee inakuje😊
2026-07-16 14:18:01
0
kessy mussa :
hiyo kodi nina mlipia nani katika kiwanja changu
2026-07-15 14:51:37
0
Yasmin Lua :
tumeshuru kwa taarifa tunaomba kufahamu kuwa ss wengine hatuja pimiwa tuliambia tulipe pesa za kufanyiwmchakato wa kujapimiwa lakini bado hatujapimiwa sasa ss tunalipia wapii na tufanyeje kupata hati ss bado tuna karatasi za kuuziana tu kwa serekali wa mita tufahamisheni vizuri
2026-07-21 16:25:03
0
Samira Salum :
serikali inanjaa hii khaaa
2026-07-19 19:06:14
1
Ibrahim Kahogo :
sisi wananchi wa Mpamaa Dodoma,tumepimiwa viwanja vyetu tokea 2018 mpaka leo hatujapewa namba,licha ya kufuatilia tumekuwa tukizungushwa tu
2026-07-16 11:06:57
0
Ahmedyramaar :
Tatzo mnakurupuka sana utoaji wenu wa elim kwa wananchi ni mdogo sana serikali ya vijiji ipo lkn hamuwaambii kutoa elim hata ninyi mmekaa tu huko oficn kusubir watu wakosee au waje ndo muwawajibishe kulipa madeni mnafail sana hyo wizara
2026-07-23 13:48:06
1
Břôñzë Cãrlïë :
huo ni wizi mnatuibiya pesa haiwezekani kitukimoja ukilipie mala mbili kwa mwaka hamtendi haki ndiomaana tunataka katiba mpya ili tuwezekuhoji baazi ya vitu na tupate majibu yaliosahii kwakuwa sasahivi unatupelekapelekatuu mnavotaka nyinyii
2026-07-15 08:44:29
1
Mohamedi Abasi :
Mimi nnahati na sijawai PATA cotror namba toka 2025
2026-08-22 17:56:06
0
Mashauri Last :
HUU NI WIZI WA SERIKALI UNAKIPIAJI KIWANJA AMBAPO HUJAPEWA HATI, HII NI JANJAJANJA YA SETIKALI KUMUIBIA MWANANCHI COZ HUWEZIPATA CONTROL NUMBER KAMA HUNA HATI WEWE DADA VIPI, HEBU MG. WAZIRI AKWILAPO ASHUGHLIKIE HILI AOELEJE HOJA BUNGENI ILI ITENGENEZER SHERIA MPYA IMLINDR MWANANCHI, WIZI HUU YPI PIA HUKO GEPG ETI HELA IKIINGIA HAIWEZITOKA, SGR WALIIBA OESA HIVIHIVI NAUKI YA WASAFIRI WA JAN. 2026 BAADA YA TRENU KUFUTA SAFARI WALIAHIDI WANGEREJESGA NDANI YA SIKU 7 ZA KAZI LAKINI HADI HII AUGUST 2026 MIEZI 8 SASA HAKUNA HATA SENTI 1Imerudishwa Yaani Mkurugenzi wa TRC Kataoeli Wananchi na PM hivi unalijua hili afu umejaa Kimya TU Wakati Wananchi Tunaamini wewe Ndiye mtetezi Wetu, pls CHUKUA HATUA MKUU BADO NCHI HII KUNA WATUMISHI NI MAJANVBAZI KBS.
2026-08-15 20:02:47
0
♥️Ney💕💕💕 :
Kwa mwaka sh ngapi au inatengemea na ukumbwa WA eneo?
2026-08-14 14:44:05
0
denismengele :
katiba mpya ni kila kitu tunawaambia kila siku hausikii hii Ndio ccm
2026-08-14 10:08:28
0
Atour Vlog :
katiba mpya ni muhimu sana, bila ivyo wananchi tutaendelea kuishi kama watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe sababu atutoweza kushirikishwa mipango yeyote Kila kitu kina amuliwa na atuna uwezo wa kupinga
2026-08-16 22:14:12
0
maryam :
ahsante kwa ujumbe umetufikia
2026-07-13 12:59:53
0
To see more videos from user @wizara.ya.ardhi, please go to the Tikwm
homepage.