@lackiusrichard: ๐๐๐๐๐๐๐๐
1. COURSEWORK SIYO MWISHO
Ni sehemu tu ya tathmini. Bado una UE ya kubadilisha kila kitu.
2. HOFU HAISAIDII
Wakati wa kuogopa ni muda wa kupoteza. Tumia kusoma badala yake.
3. PAMBANIA ALAMA ZILIZOBAKI
Huwezi kurekebisha iliyopita. Lakini unaweza kushinda UE kwa maandalizi ya leo.
4. USIJILINGANISHE NA WENZAKO
Kila mtu ana safari yake. Jikite na wewe.
5. UE NI FURSA YAKO
Hapa ndipo unaonyesha ulichojifunza. Kosa la coursework lisikuzuie.
6. USIKATE TAMA
Mpaka mtiani uishe, bado una nafasi ya kufaulu. Pigania!
HITIMISHO
USIACHE COURSEWORK IKUANGUSHE. TUMIA MUDA ULIOBAKI. JIANDI KWA BIDII. UE NDIO INAYOBADILISHA MATOKEO.
Mungu akubariki na akupe ufahamu #collegelife #fyp #trending #viralvideo #foryou