@jmtv_tz: Muda mchache tu baada ya Yanga kumtambulisha Kocha Manqoba Mngqithi raia wa Afrika Kusini, Mwandishi na mchambuzi wa Habari za michezo kutoka Wasafi fm @wingatishio_ anasema kocha huyo hatamaliza msimu na miamba hiyo Jangwani. 📽 CC @wasafifm #mpwagejulius #JMTV #mpwagedigital