mim nakuelewa Sana ila hayo mambo tafuta familia mkae chini achana namitandao Mim niliolewa pia nakiongozi wadin nilipitia mengi lakini mambo yetu yaliishia ndani yafamilia naniko naamani kila mtu anamaisha yake kwasasa pole fikiria upya mitandao sio mizuri kipenz
2026-07-13 12:33:57
65
official kidoti :
ww ongea vizuli maan umekuwa kam akili aiko sawa tuliza akil ongea vizuli
2026-07-13 12:03:50
49
Ab_Kassanura :
Binti mzuri sana Maa Shaa Allah, sema unakosa hekma
2026-07-13 16:26:40
12
Asya Asya Abdullah :
choice
2026-07-13 18:52:44
0
@bakari_hakuna_matata :
jicho mashallah
2026-07-13 13:47:26
1
Queen zaks :
dadangu umekosea sana tena sana kumkashif shekhe walid
2026-07-13 07:50:43
28
2k.Name :
sheikh ndo alikufundisha salamu mbovu namna hiyooo kwanza salimua vizuli
2026-07-13 14:45:46
3
zahrapunja_collection :
Umetumwa nini?????
2026-07-13 12:24:56
7
Evelyn 😍 :
mambo ya kifamilia unaletaje mtandaoni dada
2026-07-13 20:09:51
4
its_micer :
Depression is real🥺….
2026-07-13 13:00:00
3
Zuena Mickdad💞🙌🙏🙏 :
mzuli sana uyu dada
2026-07-13 11:52:27
5
Suraiya abdul :
nyooooooooooooo
2026-07-13 18:36:37
0
RANIYA💞 :
ww dada jaman mambo ya familia unaweka online
2026-07-13 08:12:17
12
Daddy Salum :
dada yupo sahihi
2026-07-13 12:12:37
2
12 :
tumekuchoka
2026-07-14 01:47:22
2
Kidunda Zaki :
hiyo salamu umepigaje hapo
2026-07-13 12:22:07
1
Chief utelezi :
Mtoto Mmoja Anakushinda Kutulia
Aise Au Umetumwa kweli ww
2026-07-13 16:01:15
6
asnath69_Stara tunapendeza :
2026-07-13 15:22:47
1
Salman hemedi :
mwezi mchanga
2026-07-13 21:16:23
1
Ally Konyezo :
acha njaa
2026-07-13 13:09:13
2
hidaya :
MAA ASHA ALAH BINT MZURI SANAAA MAA ASHA ALLAH
2026-07-13 14:37:04
3
mnyake :
Mbona salamu yenyewe haipo hivi
2026-07-13 12:58:33
3
beka.madimba :
hio Salam umepigaje hapo mana sijaielewa kabisa
2026-07-13 12:29:20
3
Ms sitty 🦋 :
Kwan famılıa ake ıpo tıktok au 🥹
2026-07-13 09:28:08
3
To see more videos from user @user28882761968133, please go to the Tikwm
homepage.