@islamic_rihla: Mara nyingi kusengenya huanza pale chuki, uadui na kutosamehe vinapojengeka moyoni. Uislamu unatufundisha kupatanisha nyoyo, kusamehe na kulinda heshima za Waislamu wenzetu badala ya kuzungumza mabaya yao. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 🌱 Usiache kheri iishie kwako. 📤 Shiriki video hii, huenda ikawa sababu ya mtu kuacha kusengenya, kupatana na ndugu yake Muislamu na kupata ujira kwa idhini ya Allah. ❤️ Like • 💬 Toa maoni • 🔖 Save • 📤 Share 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US