@user28882761968133:

bella💋
bella💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 07:51:31 GMT
253002
3638
630
315

Music

Download

Comments

seif.abdallah61
SEif ABdallah :
pole dada
2026-07-18 19:07:28
0
missmaua7
Malikia 21 :
N mzuri sema Halotel ina search sana
2026-07-13 12:30:51
150
abdallah.kambangw
Abdallah Kambangwa :
Ww dada mbona unamdhalilisha sheikh wetu. 🥺🥺🥺
2026-07-13 09:12:45
82
user7407218120635
@ princess💞💞💞 :
Allah akufanyie wepesi da bella we love you mamaa
2026-07-15 09:36:51
1
taho1000_
TAHO Media Group (TMG) :
Huyu dada namuonea huruma sana, awe kichaa asiwe kichaa anahitaji msaada, naona ana zo documents zote za mahakama na muhuri, hatusemi kama Shekh Walid anahusika lalkini kutokana na ukubwa wa ofisi yake na yeye mwenyewe basi tunategemea huyu dada angeitwa wakayajenga, wakati fulani tunaweza kumlaumu huyu dada maskini kumbe anaonewa, Mashekh sio maasumina (watu wasiotenda dhambi) bali ni binadamu kama sisi tu, mama asaidiww kwa haraka
2026-07-14 13:30:29
66
zajiaiddyally
zajiaiddyally :
pole dada swali uliolewa
2026-07-13 08:02:56
13
sagumbosampa
sagumbo :
kwani uyu kabila gani
2026-07-14 19:36:27
7
jumanne.ally959gm
Jumanne [email protected] :
uyu dada asi zalauliwe naona kama kunaukweli 🥺🥺
2026-07-13 15:47:35
20
joyethanjr
mama jr :
pole sana bella jaman, Imana igufashe bhizalangila
2026-07-13 08:52:57
4
oman65175
Oman :
me mashehe sitaki wanioe kabisa Wana mambo machafu
2026-07-13 13:21:31
37
abubakari9358
abubakari :
nenda police utapata msaada
2026-07-18 16:29:30
3
shahadi176
shahadi :
Mwachani dada wa watu atoe ya moyoni naye pia ni binadamu au kwa sababu ni shekhe ndo maana
2026-07-15 13:26:28
2
sity25297
sity :
NIMEUMIA SANA NA SWALA ZIMA LA SHEKHE WETU WANAWAKE TUJIFUNZE KATIKA HILI Tujitahidi sana tunapofanya ibada tumuombe Mwenyezi Mungu atujaalie hekma ktk maamuzi yetu tunayoyafanya tunapokua na Hasira, mitihani,au Matatizo. Tusilolijua wanawake tunapoachana na wenza wetu au wazazi wenzetu na kudai haki za malezi ya watoto wetu, kwanza tutambue kwamba swala la kulea mtoto si la mpito, ni swala linalohitajika kwenye maisha yote ya mtoto au watoto tunaowaleta hapa duniani. Lakini pia kulea sio kutoa pesa za matumizi tu, bali ni pamoja na kumjenga mtoto kielimu na kimaadili. Na yote hayo yanahitaji sauti za wazazi wote wawili hata kama hampo pamoja. Tunaolea watoto tunajua, kuna wakati mtoto anakufanyia jambo unatamani pengine baba angekuwepo asingefanya hili, au pengine angesikia sauti ya baba hili angeacha.na hayo yote unaweza kuyapata kama tu kuna maelewano pande zote mbili hata kama mmeachana.Sasa kwa staili hii alofanya huyu dada anategemea atapata alichokusudia? Na je hata kama atakipata kitakua endelevu kwa maisha na makuzi yote ya mtoto? Au ndio anazidi kujijengea chuki yeye na huyo mtoto wake? Linapotokea swala kama hili tanguliza hekima kwanza. Kama amepita ngazi zote na hajapata msaada huenda na yeye kuna namna anamkosea Shekhe au anataka vitu kwa pupa ndio maana Shkhe nae anaksirika na kumpuuza. Ila pamoja na yote bado angechagua njia ya ukimya na kuupa muda nafasi. Akatafuta njia ya kutatua hizo changamoto zake na sio Hii ya kumchafua. Naimani kuna siku wangeyamaliza na maisha yangeendelea. Kwakuwa naiman Shekhe ana watoto wengi sana tena wakubwa tu mbona hatujawahi kusikia vilio vya wengine wakilalamika kawatelekeza? Huenda kweli Shekhe wetu anamakosa ila huyo dada kakosea zaidi.
2026-07-15 06:55:32
8
nasra33456
Nanah 😍 :
ila huyu mnyiramba anashida sana wallah hayupo sawa
2026-07-13 14:49:33
12
fatuma.elias0
Fatuma Elias :
jamani mbona ni mzuri sana
2026-07-13 12:45:07
10
directorbaksh
bakshjr&orange :
Allah anapowapenda waja wake anawajaribu In Shaa Allah leo tumeon sheikh wetu katenguliwa ila In Shaa Allah ni kheri dada utapata haki yako na sheikh atapata haki yake In Shaa Allah
2026-07-14 16:25:30
8
mariamjumamariamj5
mariam juma🌻🌻🌻🌻 :
huyunae kabila gn jmn samahan nauli lkn
2026-07-15 11:31:26
1
naslyyahaya
nasly :
kwani shida nini dada mbona jambo halishi
2026-07-14 17:16:40
5
fatuma.elias0
Fatuma Elias :
pole sana mtoto mzuri MUNGU yupo
2026-07-13 12:46:29
4
sadatsimba
[email protected] :
mungu Akupe subrah
2026-07-13 14:32:33
5
user9814175761553
adamu maulidi athumani :
nimekupeda kama hutojali nipede na wewe nikuoe
2026-07-15 16:30:11
3
nurujarden
N🦋U🦋R🦋A :
Mimi toka nitake kubakaa na shekhe ajifanye mganga Sina hamu😂😂
2026-07-14 16:25:31
3
malikisaid4
Abdul malik :
uyo mtoto mwenyewe mbona hatumuoni
2026-07-14 21:28:52
0
user7370552958765
JITU LAGAMBUSHI :
sawaa ulicho kitaka kimefanikiwaaa
2026-07-15 12:54:12
0
user380617408119
user380617408119 :
hiki kiswahili ni Cha wap lakn 😁
2026-07-15 09:27:29
1
To see more videos from user @user28882761968133, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About