@abuumchina0: YASHIKE NA UYAZINGATIE #mawaidhayakiislam #mawaidhayenyemanufaa

Abuu mchina
Abuu mchina
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 07:58:08 GMT
263261
26739
301
3741

Music

Download

Comments

_zuuh1
🥀zuuh🥀 :
subhanallah na mm ndo swezi lala kivyengime ispokuwa kwa tumbo😭😭😭😭
2026-07-14 19:16:15
154
rahmal50
@Rahmal50 :
dah nimeinuka mbio😁😌....ahsante kwa elimu
2026-07-14 17:45:33
123
user3192726153201
mugar mastory 🇿🇦 :
mm nikilala Chali nakabwa
2026-07-16 02:22:41
23
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
Mungu ganii huyoo mwenye kutesa binadamu wake
2026-07-14 19:26:36
8
its.me33219
It’s me🦋❤️ :
Nimekwisha mwenzenu🙆‍♀️
2026-08-22 15:03:15
4
bravemamy3
brave girl :
heee itakuaj na mm hua cpat ucngiz km cjalala kwa tumbo subuhallah
2026-07-14 07:44:37
61
mrs.dua4
Zahreinrk❤️ :
kitabu cha Allah kilishamaliza kila kitu alhamdulillah
2026-07-15 15:07:40
37
sweetnoory
sweetnoory :
siwezi kulala bila kulalia tumbo
2026-07-15 10:59:55
6
mumsuukenya
Team strong 2028🇴🇲🇰🇪 :
jamani na Sisi wenye tunafanya KAZI gulf tunalala masaa matatu tuu🥺
2026-07-13 15:37:25
16
user3810873009916
yummy :
Mungu nisaidie kweny Hili daa siwez kulala bila kulalia tumbo
2026-07-15 04:30:54
9
user4493094629650
ancha :
Allhamdulillah kwamafundicho
2026-07-13 16:03:14
17
user1866195700845
hurry jjihaan :
wangapi tumegeuka mbio🤣🤣🤣
2026-07-16 12:37:59
8
user5545842111919
ابو احمد :
Àsalam Aleykum Sheykh Hadith Hiyo Kuhusu Katazo la kulala na Tumbo Nimekuwa Nikiifanyia Kazi Sana nikijizuwia kulala na Tumbo Ila Niliwahi Kumsikia Muhadith Akisema Hiyo Hadith Ni Dhaiif vipi Hebu Iangalie Tena Isnad yake . Shukran Allahu Baariq
2026-07-13 16:29:35
8
fetty..1
Mrs dody.🇰🇪🇰🇪 :
yarrab nisaidie mm bila kulala natumbo sipati usingizi😭😭😭
2026-07-15 18:33:30
5
user37744415403871
Hawa👩‍❤️‍💋‍👩 :
Mm nikilala natumbo ndo najisikia vizuri nausingiz unakuja
2026-07-15 07:42:25
9
ukhty.aisha48
ummu nutheima 🥰 :
shukran
2026-07-13 15:56:02
8
buna.boe
buna boe :
mungu akulipe kheri kaka
2026-09-03 21:44:21
1
rs_msemo
kiba :
Inshaallah MwenyeziMungu Tunakuomba Utusamehe 🤲🤲🤲
2026-07-13 10:47:54
7
mysara.abdallah
Nasra🥰 :
Mungu wangu sasa mbona ndio ulalaji wangu
2026-07-15 10:29:49
1
zulehambelwa45
zuuh.dam official :
Ahsante kwa elimu shekhe🙏
2026-07-16 06:15:06
2
alwatan8877
Marshall Zhukov :
ila Mungu wa hii imani khaaaa
2026-07-15 17:55:29
0
user4949435284368
supar women :
mtihan wallah ila mm mbn nikill chali ndo naota ndoto za ajab😢
2026-07-15 14:20:16
1
mohammed.mwangia
Mohammed mwangia :
Alhamdu lilah insha Allah Allah akuhifazi insha Allah
2026-07-13 12:07:40
4
starbyessence.co
Star by Essence ✨️ :
mie km sjalala hv sipat usngz😭
2026-07-16 07:43:16
3
fathush14
♥️🦋Fathush🦋♥️ :
Subhanallah na mm sipati usingizi mpka nikale na tumbo
2026-07-17 09:18:07
1
To see more videos from user @abuumchina0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About