@user28882761968133:

bella💋
bella💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 08:06:17 GMT
311687
8168
1265
1295

Music

Download

Comments

fly.zerry8
Being Zerry :
sura mashallah akili audhubillah
2026-07-13 14:01:08
412
sogora.mwishe
Sogora Mwishe :
Mbona kama network search
2026-07-13 09:45:51
281
madam_boss_12
madam boss♥️ :
kwani mlitongozana tiktok?
2026-07-13 08:22:31
247
mvinjafurniture0
mvinja furniture :
Huyu dada kuna mtu yupo nyuma yake
2026-07-14 14:30:57
107
nainai7100
Haule’s Daughter🥰🌺🌹 :
Wananiudhi mimi wanaombeza huyu dada jmn kama Dua haziwahusu kaeni mbali na kitezo 🙌🙌🙌🙌🙌 mlitaka afanyajeee na njia zote amejaribu zimeshindikana na kutishiwa maisha juuu aaah jmn msiangalie Eti sabb Yule ni sheikh angalieni haki
2026-07-14 16:58:12
45
eileen.wamunza
Eileen Wamunza :
Today hapa
2026-07-14 22:58:57
0
majamy4
ma jamy :
mungu akusimamie mdogoangu wanaokuona chizi hayajawakuta
2026-07-13 14:49:51
154
baby.aalyah
baby aalyah :
Unaniudhiii lioneee
2026-07-14 18:39:59
0
nasra.mbweze
Mamy Naa :
tafuta haki ya mtoto wako dada mwenyezi mungu atakusaidie
2026-07-13 17:34:50
70
shaabanmaalim652
shebby one 1 :
mh woman
2026-07-14 18:48:42
0
teammapandemwana
Mapande@Mwana :
nimegundua uyu dada Yuko nashida hayuko sawa,Mungu akusaidie
2026-07-13 12:32:13
97
user55166559475
mamamunira :
huyu sio chiz anajielewa vizuri sana
2026-07-14 03:39:29
77
abdallah.kambangw
Abdallah Kambangwa :
Unamdhalilisha sana sheikh wetu 🥺🥺
2026-07-13 09:15:57
92
malaika.cute7
Malaika cute :
I love catholic 💪💯💒📿💒💒💒and I love Jesus ❤️❤️❤️Wakatoliki Piga kelele
2026-07-14 08:59:15
1
samsonbarnabas835
samson barnabas :
safi sana, mambo kwa ushahidi!
2026-07-13 14:13:50
41
saphiamohn
saphiamohn :
nakuelewa my dear Allah akufanyie wepes
2026-07-14 14:43:23
14
user8182117838180
Mimy Mariam :
Munamuona Ayako sawa kwa ajili bado ayajawakuta , Kisha ivyo viumbe nivishenzi Sana tuu kama shenzi wengine ALLAH Akusimamie upate haqi yako Dada mzuri tabarak'ALLAH
2026-07-13 19:39:53
17
kajulu.99
kajulu_electrician :
tulio wahi kupitia mtihani ya wanawake kama hawa tujuane🥹 👋
2026-07-13 18:36:43
51
001mohammed4
sharaman_boy :
Big up sister uko sawa kabisa 💯
2026-07-13 13:39:54
26
mizo.._paka
💔@nuskyy. _🤪 :
Twendn mbel turdi nyum ila huy dada anapt tab n anpty magum anahtji msaad🙏😢💔 😊
2026-07-14 18:13:57
5
fettybella8
Bella :
Ndo uitwe Bella
2026-07-13 09:49:22
14
amour_da_silva
Nouh Amour da Silva :
ulichokitaka umekipata mam
2026-07-14 13:48:10
6
user7719121376362
jimmy :
pole sana dada ila haya mambo sio ya kuleta tiktok
2026-07-13 14:57:28
14
sashaa9412
sashaa :
Mmmmm ALHAMDULILLAH RABILAALAMIN YAA ALLAH SIMAMIA KHAKI MAANA WEWE NDIO UJUAE UKWELI YAA ALLAH
2026-07-13 10:24:50
41
To see more videos from user @user28882761968133, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About