@mbasha_tv: hatua za kufata kupata barua ya makazi #HESLB #UsajiliNIDA #HudumaChapChap #tanzaniatiktok #SerikaliBora

Mbashatv
Mbashatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 08:26:23 GMT
12716
269
14
151

Music

Download

Comments

god.favorite76
God favorite :
hatua ni nyingi kuomba mkopo jaman yaan kama watoto wanaomba uhai yaan😂😂😂
2026-07-15 17:52:50
1
power_masanja17
Power@#king :
samhn ila NIN ndo nn
2026-07-14 14:10:31
0
m.square0475
M square :
nauliza kama diploma waga wanapata boom?
2026-07-15 21:42:41
0
brandin2006
user61940174288770 :
Sasa mbona mambo mengi paka yanatisha, aah
2026-07-15 00:45:16
0
esterpaulo923
Ester Paulo :
plaivet mbona hawapati mikopo hata kama wanaufaulu mzuri hii imekaaje?
2026-07-15 06:18:29
0
john.kifyasi
John Kifyasi :
kaka mimi nipostipone semister ya kwanza lakin nilipo resume ,,nahangaika kupata hela na boom la mwisho na nakaribia kuingia kwenye mtihani ,,unanisqidiaje kaka
2026-07-14 15:40:08
1
zainab.rebo5
Zainab Rebo :
kama umesajiliwa mara ya kwanza na Kuna mtoto mwingine kuhaja ya kujishajili Tena?
2026-07-14 18:24:39
0
broothnathclassic
broothnathclassic :
habari mkuu,
2026-07-13 13:21:53
0
irene.massawe795
Irene Massawe :
Daaah kaka mungu akubariki jamani nimekupenda bure umetusaidia wengi
2026-07-14 12:55:57
0
wisdom03818
WISDOM :
Mungu saidia mwaka huu nipate maana nikikosa sijui kama ntaendelea kusoma maana maisha ya chuo bila mkopo ni magumu sana na familia zetu ndo hivyo tena
2026-07-15 00:11:17
1
brandin2006
user61940174288770 :
rushwaaa tu hiyo vitu 10 zaidi mmh tz mmezido
2026-07-15 00:46:38
0
user7782606629202
official jr :
je ukiwa umepanga inakuaje apo
2026-07-13 20:25:49
0
To see more videos from user @mbasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About