@katorotv: #Monalisa Buyamba, mtoto wa bilionea na mchimbaji maarufu wa madini kutoka #Katoro, mkoani #Geita, Ndg. Silyvester #Buyamba maarufu kwa jina la #GSM wa Katoro, , amepokea zawadi ya Shilingi bilioni 1 na milioni nne katika sherehe yake ya #sendoff iliyofanyika Julai 12, 2026 katika Mamlaka ya Mji Mdogo Katoro. #katorotv #katoro

KATORO TV
KATORO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 10:03:31 GMT
129780
5532
167
581

Music

Download

Comments

carolyne.lawrence
Carolyne Mziray :
Dear Lord 🙏
2026-07-13 13:39:52
0
user5695974816529
mariam :
najiambatanisha na hizi baraka
2026-07-13 11:39:56
182
directormjagongo
DIRECTOR MJA GONGO :
Tutawafuatilia nasema
2026-07-13 12:25:45
61
agnesspazz4
Aggy saloon & drink :
mimi na mpenzi wangu ambaye hanitunzi tunasindikiza bilioni moja kwa afu tatu 😁😂🤣
2026-07-13 13:37:42
28
momynabeel1
Princess Rachel :
Eeh mungu kama mimi ni chambo niweke baharin samak wanile
2026-07-13 13:02:59
13
telezia.osiah.mwa
Telezia Osiah Mwambegele :
mm na mme wangu tunajiambatanisha na baraka hiziiiii amen
2026-07-13 13:26:42
17
emmyelias945
Emmy❤️❤️ :
Tuwawafuatilia
2026-07-13 12:49:13
10
hahiz250
H :
naomba niwe mfanya kazi wake wa wandani
2026-07-13 13:25:57
14
princessmary656
princessmary656 :
mimi nahamia Kanda ya ziwaa☹☹🥲🥲
2026-07-13 12:01:25
11
user24217480226900
Mwirabucha 24hs :
Yarabih najua haya yote waliyoyafanya sio kwa uwezo ni kwa baraka zako na neema zako nakuomba yarabi kama itakupendeza nami nigawie hizo baraka na neema kama ulizo watunuku hawa aaamina aaamina inshallah.
2026-07-13 13:59:53
6
fattykashia04gm.c
fattykashia04gm.com :
mmmh katolo n hatar🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-13 13:04:40
5
usermuserminaah
user2561147177057Minaah :
mimi na mume wangu tunasindikiza bilioni 1 kwa macho 🥺
2026-07-13 13:07:51
6
nunu_outfit.store
Nunu_outfit store :
Jaman @nsena unavyoshangaa
2026-07-13 13:49:24
1
user9737287108246
juma rupimo :
mungu saidia hata na mimi nipate hako kaliko baki
2026-07-13 12:59:04
4
tausi.ramadhani7
Tausi Ramadhani :
awa ndio wahaya sasa
2026-07-13 13:58:14
0
riffat.win
Riffat Win :
kawaida tu mm naona kwa sasa🥺
2026-07-13 13:26:49
1
sando.mr.nature
Sando Mr nature🇹🇿🐘🐍🦍🦩🦩 :
Dollar 1 = 2500 Tsh Dollar 10000 = Tsh ? jibu ni 25,000,000 Tsh ( milioni ishilini na Tano ) kwahiyo bilioni Moja inasindikizwa na milioni ishilini na Tano. Any way Hongera 😅😅
2026-07-13 14:40:35
0
06837244dan
Elena Daniel :
🥰🥰🥰 nimependa sana tutafute pesa
2026-07-13 12:16:29
10
reymgonja1
Rey Mgonja❤️ :
mungu nisaidie na mimi
2026-07-13 13:00:58
2
lovenesluhanga
love ❤️ :
eeeh mwenyezi mungu baraka hizi zinifuate
2026-07-13 12:58:26
3
suzan.kathberth
Suzan Kathberth :
Najiambatanisha na hizi baraka siku moja nishike bilioni Mungu nikumbuke na mimi nijazie Mibaraka hadi nishangae mwenye Imani na upendo aseme Amina 🙏🙏🙏
2026-07-13 13:04:28
2
user4829447840882
maryam :
hongereni mwayego ukatulie kwa mume umem chagua mwenyewe heshima jambo la muhimu sana uvumilivu subira ndio ngao ya ndoa
2026-07-13 12:56:37
2
beutify3
black beauty😘🥰 :
mungu nipe kati yaawa ambaye ajaowa ata mmoj🥰🥰🥰
2026-07-13 13:02:30
1
To see more videos from user @katorotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About