dada Mimi Jana nimeenda dukani akanipa hii alpha arbutin wameandika whitening cream alafu Mimi ni mweusi itanifaa kweli naomba unijibu na Mimi sitaki kuwa mweupe
2026-07-21 14:00:26
1
Naah🌸💜 :
Ni shngap
2026-07-22 07:01:59
1
njombe cosmetics :
Nzuri mnoo
2026-07-21 11:28:37
1
Mariasalome :
kazuri kenyewe
2026-07-22 19:36:47
1
somacha :
mpenzi Olay Ile kopo la gold
2026-07-22 13:14:31
1
Mparemzury❤️🔒 :
Glow melanin
2026-07-14 22:11:14
1
ms_migo27 :
Asubuhi tunapaka nini Jamani😥
2026-07-21 13:19:56
1
florasaid597 :
asubuhi hairuhusiwi kupaka yaan nina chunusi ni hatariiiii na sitaki kuwa mweupe nataka niglow tu😄😄😄
2026-07-23 08:07:18
1
J🤍 :
bei
2026-07-23 12:17:28
1
mjerumani4️⃣5️⃣ :
shingapi
2026-07-26 12:33:14
1
To see more videos from user @celest_cosmetics00, please go to the Tikwm
homepage.