@dullamakabila: Usiku wa jana kwenye birthda ya mama yetu @mama_dangote nilipata bahati ya kuonesha kipaji changu nikamchezesha singeli mkurugenzi @diamondplatnumz akafata mheshimiwa @hajismanara__ mwishoni tukaenda kwa dada angu @zaiylissa kwa kifupi paliwaka moto 🙌🙌🙌🙌 Call Me #kingofsingeli👑🤴
Dullamakabila
Region: TZ
Monday 13 July 2026 10:11:21 GMT
Music
Download
Comments
SAMBUSA ZA NYAMA :
diamond hana hata stress, zuchu sasa
2026-07-14 06:18:36
60
Ney :
EX kama dulla hapana😂😂😂😂😂😂
2026-07-14 09:25:58
39
mimah de bleez❤️🫂💫 :
Ila uncle T😂😂😂
2026-07-13 16:49:32
18
Nikotruth :
Ila x wenu mzuriiii🔥😅😅😅😅
2026-07-13 11:44:58
33
Vipers :
Anko t katokea wapi tena
2026-07-14 08:49:07
19
HASNUU TOTO🥰 :
dulla nilipenda ulivyoimba awena ukamtaja twigaaa❤❤❤😂😂
2026-07-13 10:15:02
52
🤴 CHUGER TZ 💎🗽 :
najua haiwausu nimepata NIDA
2026-07-15 11:19:33
6
Nonoh Madam🥰. :
Sijamuona LAVALAVA na Mbosso khan na D.VOICE
2026-07-13 17:14:41
12
keih Mwanah@1 :
23#23
2026-07-13 21:14:29
2
Aidan yohana🇹🇿 :
unajua sana dulla mimi ukiacha pesa pia siwezi kuishi bila mziki wako
2026-07-13 10:22:53
15
°.♡☆.FØXBRÈÉZ¥.☆♡.° :
😂20/20 chap chap🔥🔥🔥
2026-07-13 21:56:02
1
fay_momo :
😂😂😂😂dulla una akili Kama zangu
2026-07-16 16:06:25
3
Amani Denis :
Mon idole
2026-07-15 21:42:27
1
salish honey :
wow kaienjoiy wallahi nasib wetu😂
2026-07-20 21:32:45
1
Salmah💞❤️ :
ila dullha ana mapenzi ya kwel kwa zai🥰
2026-07-13 21:10:23
7
millin333 :
ila bro dullah ilikuwa fire 🔥
2026-07-16 09:29:25
1
Baby_Dii🦅 :
zuchu
💃
2026-07-15 07:09:26
2
hunny :
ila dulla🤣🤣🤣
2026-07-16 09:43:36
1
Ayshamooh couture👜👗 :
ex kajuwa kupendaaa😜
2026-07-14 20:09:30
1
Sarah methy0101 :
Kina dula sio wakudet nao 😂😂😂
2026-07-14 08:10:09
4
Fadi bishoo :
mkn
2026-07-14 10:59:21
1
To see more videos from user @dullamakabila, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.