@princemosha_: Google bado ni muhimu, lakini Al search kama Perplexity inafanya research iwe haraka na rahisi zaidi. Kwa business owner, hiyo ina maana ya muda zaidi na decisions bora. Team Google au Team Perplexity? #AItips #jifunzekitu #AItools #Tanzania #perplexity