@islamicswahilinet: MALI NA ELIMU HAVIONDOI WAJIBU WA KUMHESHIMU MUME As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 10:50:23 GMT
17039
1608
21
113

Music

Download

Comments

zainabukweka
zainabukweka :
mashallah love
2026-07-13 22:06:54
0
mwana.mussa
Mwana Mussa :
mashallah Allah azid kukuongoa pamoja na cc tuwe kma weww
2026-07-13 11:52:51
11
mama.toto30
mama mtu 🥰🥰 :
2026-07-13 20:18:41
0
nasraissa78
nasraissa78 :
allah
2026-07-13 21:45:29
0
_07billu
Nabila :
Sahihi dada Allah atuhifadhi
2026-07-13 20:40:15
1
ukhty.nira
spark and shine with nira :
MashaAllah
2026-07-13 22:50:53
0
abu.rashid287
Abu rashid :
mashaallah
2026-07-13 22:07:30
0
sharifatwalib539
Sharifa Twalib :
allh huma swal wasalima aley
2026-07-13 13:05:45
1
dalilhte9f8
dalilah :
Mashaallah
2026-07-13 12:03:50
1
sara.hatibu4
Daa tii💞🦋 :
mashallh 🙏
2026-07-13 19:51:23
0
mamu76802
mamu :
mashaallah
2026-07-13 14:58:35
0
nurathkiuler
Nurath Kiuler kdt🌺 :
Mash Allah
2026-07-13 19:57:45
0
shammy.stylish
shammy stylish :
maasha Allah
2026-07-13 11:39:38
1
user7317670420856
muuza nguo aina zote :
mashaallah sinura
2026-07-13 14:41:16
0
colerpher
حبيبي مُوسَى :
اللّهُمّأَحْسِنْعَاقِبَتَنَا فِي الْأُمُورِ كُلِّهَا، وَأَجِرْنَا مِنْخِزْيِ الدّنْيَا وَعَذَابِ الْآخِرَةِ🤲
2026-07-13 16:02:40
0
zaidakatawa1
@Zaida katawa @ :
Mashaallah
2026-07-13 13:59:23
0
legends.furniture
Abuu furniture 0716775423 :
Allah,akurehem mama
2026-07-13 13:27:12
0
kinzy0907
kinzy :
mashaallah
2026-07-13 19:58:35
0
user1227455557792
Bachaa 🙃🙃 :
🥰🥰🥰
2026-07-13 14:10:05
0
bi.marym
Mamu og 🌸 :
🥰🥰🥰
2026-07-13 11:02:12
0
zaitun.omar2
Zaitun Omar :
😳😳😳
2026-07-13 20:05:22
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About