@clickmaster_1: Safari yangu ya kwanza kabisa Mwanza imekamilika salama na sasa nimerudi Dar es Salaam. Narudi nikiwa na furaha sana moyoni Shukrani za dhati kabisa ziwafikie wote mnaosapoti muziki wangu kila siku bila upendo wenu hakuna kinachowezekana, nyinyi ndio nguvu yangu. Pia shukrani za kipekee sana ziwafikie @nandyfestival2026 kwa kunikutanisha na watu wangu wa Mwanza na kunipa nafasi hii kubwa ya kuandika historia. Asanteni sana! 🙏🏽 #nandyfestival2026 #tanzaniantiktok🇹🇿 #clickmaster #fyp #Sherehe
Click Master
Region: TZ
Monday 13 July 2026 10:51:39 GMT
Music
Download
Comments
JOE BOE🥰🥰 :
waoooo
2026-07-17 20:15:35
0
Sengasenga OG :
nikipata like 7 nacha nyeto leo😁
2026-07-14 02:14:22
14
Dj calzack💎 :
Hii camera huwa inakuwaga sehem gan mze embu naomba Leo nisaidie kidgo kweny ili🤔
2026-07-13 17:40:57
11
Baby bt01 :
Nakuku Bali sana
2026-07-13 10:57:14
14
Bonymation👾 :
Tunataka Baiskeli Yetu 😂😅..
2026-07-13 13:43:14
3
kingjosh🔵 :
msanii wetu go higher than hapo...🙏🙏
2026-07-13 11:05:32
1
mam kingsley👑👑🥰 :
kwan baiskel umeiacha mwanz click
2026-07-13 12:21:37
2
FRIDAH :
mwenyez mungu akulinde my brother
2026-07-17 14:26:19
0
Mistoni Kayola :
wakika bro
2026-07-16 19:26:15
0
Magreth thobias :
ongela kaka nyimbo zako zote ninazo na ninaziimba vizri2
2026-07-16 19:06:40
0
mngoni electricity :
nakubali sana kaka ata video zako maadili yapo unaangalia nakila mtu safi sana usibadili kwenekano
2026-07-13 10:57:16
1
Ayubu Chimais :
Mungu akupe safari njema ya kimuziki
2026-07-16 11:31:53
0
Hash14 :
oya kaka we noma like hapa
2026-07-13 10:58:57
1
seph mrumbe :
nimefurahi kuwa xhabik wa kwanz kuweka like na konent🥰🥰🥰
2026-07-13 11:00:07
1
chongo msnk family :
leo nimekuwa wa kwanza kuona post yenu🔥
2026-07-13 10:55:57
1
Elly tz53 :
nakukubali kaka
2026-07-13 11:20:43
1
Didius Didier :
vipi brow nakutafuta inbox najambo lamuimu sana lakuzungumuza na wewe
2026-07-15 18:14:43
0
z!hy_🍁 :
unani inspire san kak mim Kam underground artist Sito acha kukufatilia na I hope one day nitaweza pata corroboration na wew
2026-07-15 19:00:03
0
Rosemary Anacleth :
ulivopoa kama sio wewe🤣🤣🤣🤣
2026-07-18 08:00:38
0
user132129333461 :
wow 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 18:24:20
0
Marc X66 :
yani hiyo camera unauwa sana brother hongera sana. unafanya kitu tofauti sana
2026-07-17 15:17:22
0
maliamu yohna :
nime kumix
2026-07-16 06:17:51
0
aksaa afficial :
Aise
2026-07-13 10:58:43
0
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.