I feel the same to my children's Wallahi Alhamdulillah 🙏🙏🙏🙏
2026-08-09 05:18:04
0
fesal software :
duh. so sad
2026-08-08 09:55:52
0
Muzdat💞 :
Namie sijakataa tamaa inshallaah nitapata mtoto 😭😭
2026-08-09 03:50:52
11
Haneef🇹🇿 :
Kama baba utaelewa nini anamaanisha
2026-08-07 06:27:29
21
suleiman20020 :
DAH MANENO KAMA YA MAREHEM BABA YANGU
2026-08-07 06:57:31
13
ORG :
Allah ampe faraja huyu babbangu na Allah subhanallah wataal atampa mahitajio ya moyo wake pamoja na baba na mamangu
2026-08-08 21:26:54
8
️ :
kiswahili cha Mombasa kabisa
2026-08-08 00:38:39
4
Ummu Rugeiye :
ameen yarabi
2026-08-09 10:40:10
1
♋️🌜💦ĎĨÅÑÄ💦🌛♋️ :
you are best father in the world🥹
2026-08-05 08:53:39
9
Abuuirfan :
allah alishatuambia mali,mke na watoto ndio maadui wakubwa wa pepo endapo moyo wako ukapendasana ivyo kuliko mula wako mlezi. so mpende allah kwanza ndio mmiliki wa vyote
2026-07-25 20:36:24
15
naifin :
allah awape wazee wetu kheri na awajalie mwisho mwema
2026-08-09 06:11:40
2
first lady :
mungu amsameh alipo kosea kaburi iwe mapumziko kwake aliugua saaana maskin kullu nafs dhaikatul maut
2026-08-07 20:47:53
6
ZAFRAN :
ashakufaaa jamni huyu mzee long tym sana yes ni wa msa tena masharif family yake wako na pesa sanaaa lkn Allah amsamehe huko aliko
2026-08-09 01:53:02
1
Abdul Qadir :
inshallah Allah akupe umri mrefu na afya na akutimizie kila hitaji lako na akulinde na husda na akupe mwisho mwema Inshallah
2026-08-04 20:37:53
9
hameedahameeda25 :
mung akurehem baba yang😥
2026-08-08 08:35:03
3
baby nuuman :
Allah amrehem baba yangu😩🥺
2026-08-08 07:55:39
0
Shufaa Saleen :
Maskin mejiskia hadi kulia🥺🥺 shifaa huyo wajina wang😍 Allah Atalanta utapata baba ang hitaj la moyo wako🥰😍
2026-08-04 08:07:36
6
suleiman20020 :
YA ALLAH NAKUMBA MPE UMRI MREFU HUYU BABA KWAAJIL YA WATOTO WAKE
2026-08-07 07:00:23
5
minaa :
allahumma amin kher ziwe kwetu sote inshalla allah akupe rizk na umr zaid ulee watoto wako
2026-08-07 15:27:39
2
TITA_BOY :
That's dad's love❤️
2026-08-04 21:59:50
2
Eduardo Moises :
mungu atakusimamia
2026-08-04 07:07:01
2
Da badest :
ameen biidhinillah Allah atakukutanisha nae mama Samia
2026-08-08 20:51:11
1
Fehusa Fehusa :
mung akujaalie maisha maref na akuekee watoto wako
2026-08-07 22:01:22
1
To see more videos from user @wings_og, please go to the Tikwm
homepage.