Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Maendeleo Ya Vijana. History
2026-07-13 15:16:03
22
Edgar_soul :
Hii nyimbo ilikuwa inanikera Jeshini😭
Hongera sana kiongozi 🙏
2026-07-13 17:01:18
3
king of humankind :
my life lacture.. 😂 naikubali sana clip ya aina za ndugu😂😂
2026-07-13 15:33:49
3
Edwine :
kak me nabalikiwaaa sanaaa na manen yak kak ya motivation
2026-07-13 22:40:21
4
@nicelyone1 :
Nikikuangalia kaka Joel na nikisia mafunzo as life coach huwa sikati tamaa, wala sikubali neno Siwezi. Hakika Kesho Yetu Ina Mambo Mazuri kuliko Leo. See me At the Top.
2026-07-15 11:28:08
1
Lasury lamadhani Nulu :
kazi nzuri nina fulaha kubwa na ninaamini mungu nzio mzamini wako
2026-07-14 07:12:10
3
FUNDI÷ GYPSUM BOARD !! RANGI :
2026-07-13 19:25:45
1
mwakalinga daughter ❤️ :
bro from Tangala mitengo love u bro god may prtc u☺️
2026-07-13 19:33:56
1
mjm :
respect Mh, wewe ni taa yangu haipiti siku bila kufuatilia clip zako. nikiwa kama kijana nakupenda na nahusudu sana maono nyako
2026-07-14 18:50:11
1
pauledward3880 :
mh waziri mmetoa zaidi ya m 300 Kwa vijana ukwavila na vijana hatujui na hicho kikundi mlichokipa hizo hela hatukijui daaa Yani tz utapeli mwingi Hadi Kwa waheshimiwa
2026-07-14 15:00:06
1
Dktshamte :
Joel Nanauka, Dotto Biteko & son Khamis Shamte Hizi sanam za maana sana kwa taifa na vizazi vijavyo
2026-07-14 05:14:45
1
user84680112173313 :
Kaka napenda kz yako
2026-07-13 15:40:39
2
Denis Mashabala :
kak joer nanauka is born to save the youth
2026-07-15 19:38:43
0
Samson Humbe :
Huyu ni Joel Nanauka, nakuhusudi sana mdogo wangu
2026-07-13 19:00:55
1
Butterfly♓👑🩵 :
mwili wa fwedha kabisa huu tajeer 🥰
2026-07-13 20:01:58
1
pretty tiffar :
Nakukubar sana nanauka mungu akuweke🙏
2026-07-15 19:09:58
0
Abby Love Clinic :
Hapa Tumepata kiongozi Chapa kazi kaka
2026-07-15 21:51:15
0
Denis Mashabala :
Tanzania Africa finest
2026-07-15 19:40:48
1
✨Daughter of grace✨ :
mungu akubariki san
2026-07-15 20:41:22
0
flr :
naumia sana huu wimbo 😊😊
2026-07-15 20:04:00
0
To see more videos from user @drjoelnanauka, please go to the Tikwm
homepage.