@lumenmediatz: NACHOKA MIMI🙌

Lumen Media Tz
Lumen Media Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 12:47:27 GMT
84471
3870
122
265

Music

Download

Comments

sophiaandrew38
Tezzo :
Kama billion moja ni chenji mimi ninasafari ndefu ya utafutaji🤣
2026-07-14 09:28:19
42
alexayubu21
ALEX AYUBU :
God first
2026-07-14 18:45:02
0
mr.sabuni8
mr sabuni :
ukifwatilia sana mitandao unaweza kujiona hapa dunian una sindikiza watu kwaza pesa zann wakati tutakufa
2026-07-14 11:34:37
19
joan.abdallah
Joan Abdallah :
tuta wafatilia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-14 07:30:37
24
fatmalissu
Fatma Lissu :
niaache nachanganyikiwaa, apo bdo harusi🙌🙌
2026-07-13 12:57:06
24
jaybusinessman2
Jay home store :
I am tired
2026-07-13 19:48:34
1
tupendane14
Tupendane :
kumbe me bado niko nyuma me najua chenchi ni 1,000 2000 na 5,000
2026-07-13 23:10:50
8
daud0tz
D dragon shadow :
mbon mnatukatisha tamaa watafutaj😁
2026-07-14 20:33:48
0
aujeniamerida
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Mimi chenchiii no 50 shilling t
2026-07-14 08:54:20
0
kidoatz
kidoatz🌸🦋✨ :
Si niende zangu katoro nikaanze maisha huko 😂😂😂😂
2026-07-14 13:06:21
0
agleadayo
Glory Beauty :
mimi mwenyewe sijui namna ya kuandika hiyo chenchi yenu jmn hata mkinipa naifanyia nini cjui🤣🤣
2026-07-14 08:03:31
6
gukwidaudi
Daudi✓G :
sasa Billion moja ni chenchi ya kutangaza , me nikajua utaongea point 👉
2026-07-14 16:59:22
1
evva3827
baby face cp :
camera man zima camera nachanganyikia haya mambo jamanan🤣🤣
2026-07-14 10:34:37
4
sisajo22
Mom Cassian 🩵 :
Mungu kama Mimi ni samaki nipeleke nika ogelee
2026-07-14 16:29:45
1
richardmasana158
uke wenza :
ndugu zangu hiyo n chenji tu bado iliyo tumika kuaandaa
2026-07-14 07:07:20
3
phyzam7
phyzam :
Na hapo Kuna deni la taifa jamani mbona hamlipi🥹🥹
2026-07-14 06:14:28
1
user5283853432983
manj g :
ivi hawa wanatuchukuliaj sisi wengne
2026-07-14 08:01:01
1
france.ngosele
France Ngosele :
hahahah
2026-07-13 19:52:42
2
user82561286915586
Infinity ⚠️ :
Kumbe hii leo
2026-07-13 20:16:34
2
hheris7
hheris :
hahahahaha kweliiiii nitaftee tuu helaaa
2026-07-13 17:24:57
2
chulu356
𝑩𝑨𝑩𝑨. 𝑴𝑬𝑺𝑺𝑰 (10) :
goat
2026-07-13 22:10:02
2
davidiganja10
iganja brand 💯💯 :
kumbe na mm nitafute hela
2026-07-13 19:25:02
1
faylan..21
faylan..21 :
😁😁Duh mwenye nacho huongezewa
2026-07-13 14:09:44
1
zubeda1248
Mrs J🔐💍♥️ :
hyoo pesa ataa nusu ya utajirii wangu haifikii Sasa sjui natafuta nn
2026-07-14 21:48:38
0
To see more videos from user @lumenmediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About