@otumantozz: Muigizaji Jackrineog aweka wazi kuhusu mahusiano yake ya sirisiri kipindi hicho na msanii wa muziki wa Bongofleva Harmonize_tz baada ya kuachana na msanii wa Filamu Tanzania Kajalafrida. Jacrine Og amesema kuwa walikuwa wanaishi yeye na Harmonize pika pakua sema Harmonize hakutaka mahusiano yao yajulikane kwa watu.
KING 👑WA TIK TOK
Region: TZ
Monday 13 July 2026 13:04:31 GMT
Music
Download
Comments
🫒 :
mahusiano yenu yalikuwa yana husiana na nn
2026-07-13 14:39:58
275
Sophie Abdully :
ukiona mwanaume anakuficha jua hakupendiiiiiiiiiiii kama unaamini hvyo weja kopa apo
2026-07-14 11:32:28
274
Martha H😋 :
Kwan ni sifa
2026-07-13 13:20:21
75
Athanas 🙏 :
kwani harmonize mwenyewe anasemajee??
2026-07-14 06:16:42
23
PAPE BRAND FASHION 🔥✅ :
2026-07-13 14:08:58
8
It’s-dimple.magic 🦋 :
Huy nan Kwan
2026-07-13 17:56:39
10
rey qeen💞💞💞 :
Hovyo kwanza bay😂😂
2026-07-13 13:52:44
12
julian💞 :
uyo dada fatilieni post zake za nyuma, ye ndo alikuwa anamtaka harmonize
2026-07-13 17:51:56
38
Ray :
20/20
2026-07-14 04:00:15
1
Dodo (SD)❤😍 :
10/10
2026-07-15 15:53:59
0
keih Mwanah@1 :
31(31
2026-07-13 14:51:03
0
user383136562037 :
Hata mimi nilikuwa na mahusiano ya bibi kidude kaba hajafariki ya siri
2026-07-14 18:46:09
0
Madam Lenny❤🤍 :
KWANI NI SIFAA AU
2026-07-13 14:11:04
11
cran de berry :
uyu nae nan???
2026-07-24 01:01:25
1
Nice baby :
kwaiyo tukusaidie nn
2026-07-13 14:21:43
8
Vee💗💞💞💞 :
Ni halali wasijue manaa ulivyo mh??? apan
2026-07-16 16:08:02
1
Saby💞 :
mteja wangu huyo pale kw azizialy uwanja wa sifa anatoa vi alfu10 vialfu20 leo namkuta huku anahojiwa hivi ko kumbe 🌟 star duh
2026-07-14 13:48:48
0
My Mimy :
tukubali anavitu byake
2026-07-14 09:45:59
2
Hadija Muunguja :
haya maajab ya Dunia mi siwezi kusema nilikuwa na mahusiano na fulani
2026-07-15 09:59:36
1
call me lian %?mom :
me nlikuwa mke wa loliondo
2026-07-14 14:25:39
1
To see more videos from user @otumantozz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.