Kumkublia mtu ni kwa mwonekano wa Nje jinsi alovyo! labda ni Mzuri, Anamwonekano! na labda vitu alivyonavyo vinavyomzunguka! But kumpenda mtu, Chaiiii! Upendo wa kweli kutoka moyoni, hauangalii vitu vya nje! ule ni Natural Love from the heart. ndio maana Ukikuta mtu amempenda mtu, atakubali akosane na kila mtu, wakiwepo marafiki, Familia, yuko radhi hata alale na njaa au chini ilimradi tu asimpoteze huyo mtu. ni kama utumwa flani hivi lakini hiyo ndio Sucrifiy ya Upendo wa kweli. ❤️
2026-07-13 16:54:41
67
Princes Ruby :
Ata me naona ananikubali make sio mapenz aya
2026-07-13 15:00:59
32
S E L E :
SASA MALIAMU KAMA NAKWAMBIA NAKUPENDA UNAJIBU ASANTE .HALAFU FETY ANAJIBU ANANIPENDA PIA