@fumo_water_drilling: 💧 FUMO WATER DRILLING SOLUTION 💧 Je, unahitaji kisima cha maji kwa matumizi ya nyumbani, shamba, taasisi au biashara? Sisi ni wataalamu wa: ✅ Uchimbaji wa visima vya maji ✅ Utafiti wa maji chini ya ardhi ✅ Ufungaji wa pampu za maji ✅ Usafishaji na matengenezo ya visima ✅ Ushauri wa kitaalamu kuhusu miradi ya maji Tunatoa huduma kwa ubora, uaminifu na kwa gharama nafuu. 📍 Ofisi: Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma 📞 Simu: 0686384099 / 0794684099 FUMO WATER DRILLING SOLUTION – Tunachimba Maji, Tunajenga Maisha!