@chadematz: "Wafuasi wangu kwenye social media, X (twitter), Instagram, Facebook, Tiktok, mamilioni ya Watanzania na marafiki zangu wengine wote naomba tushiriki katika hili jambo kubwa na jema kabisa la #Tonetone, tutengeneze mvua itakayotuwezesha kukomboa nchi yetu." Mhe. @TunduALissu, Mwenyekiti Chadema Taifa. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo