@minobongo25: Mrembo vestina anasema hajui ugali ninini, Hajawai hata kuuona na hajawai kabisa kupanda Bodaboda maishani mwake, Vyakula vyake ni Pizza na Burger Tu.

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 16:09:14 GMT
108269
3017
653
724

Music

Download

Comments

feysmile5
Fey smile💞💞 :
mungu nipe kunyamazaa mana nina bonge la tusi apa
2026-07-14 08:01:06
174
0987nuruh
nuruh 💕💕 :
Mungu nisaidie nisimtukane huyu Kuma uyu
2026-07-13 18:56:48
323
happy.malikia
Happy Malikia :
jamani nisaidieni Mimi mwenzenu kila mda hasila Ina jaa kifuani
2026-07-14 13:27:56
56
qamarartist1
Qamar artist 🌙 :
Hawa watangazaji hawanaga hasira kbsa
2026-07-14 16:26:54
86
peter.jeremia3
Prince peter👀 🇹🇿 🇹🇿 :
ivi nani mwingine anapata asira kama mimi
2026-07-18 11:22:55
15
user7949762706758
Naah 💗 :
Congrakuma nina zako
2026-07-14 15:29:25
27
ley.ley0368
ley ley :
unalana ww
2026-07-13 22:38:56
34
alhadhiri.ally
PROFESSOR LEEH ✅️ :
labda Range and Domain za mathematic
2026-07-15 09:49:36
10
user35082196350294
Rahel :
ugali unapatikana KATORO ko huwez elewa 😅
2026-07-14 06:27:34
53
happys875
happy❤️🦋 :
ni mm tu ninae skia hasira tu ama kuna mwingine 😂
2026-07-16 12:11:55
23
wemamichael941
cute chammy🥰 :
Mungu anipe uvumilivu wa kuvumilia Mambo mapya kama haya
2026-07-14 14:42:06
11
reyna.mallya
Rey business ♥️ :
ila sisi wa bongo 🙌
2026-07-13 18:51:56
19
ashimu.kayange
chesko kayange :
Ndo maana nimefura TikTok mm
2026-07-14 14:22:57
6
faith.elias39
faith elias :
pizza ndo nini
2026-07-13 16:58:52
9
mashauri28
mashauri :
kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
2026-07-14 12:05:01
5
stellah14306
stellah💝 :
musikufuru mungu jaman
2026-07-14 02:52:59
10
sophylanta09
Sophy Kinalo :
Ugali ndo nini? Yesu asante maana umeniziba mdomo nisimtukane
2026-07-14 17:38:07
7
z.cute35
Z@! cute :
nikira ugali natapika me nakula pizza au burgers😂😂😂
2026-07-14 07:31:27
16
wemasenya1
wemasenya :
Ni maji yalochanganywa na unga wa mahindi🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-14 11:29:30
11
user9878730851665
paskalinabayo :
mungu nitie nguvu kuna sisi hatuwezi kuishi bila ugali 🤣🤣🤣🤣
2026-07-14 15:59:31
8
yoh_bbsfavv
Fave_J.a.n.e🦋 :
Nilijua nimesikia mengi mpaka nilivoona hii
2026-07-14 10:30:21
7
queenaly108
Queen Alyra :
uwiiii wa ugali dagaa na mlenda tujuane😝😝
2026-07-14 16:11:59
5
laura94652
laura💞💞 :
huyu nan tena hajui ugali
2026-07-13 17:34:49
6
emmy.yahaya84
Mina 🥰😘 :
Me unanitia hasira embu nipite halaka😂😂
2026-07-14 15:48:18
3
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About