@user7717347668185: kwaniin usome.jina (كافي ) kwa idadi hiyo na kwaniin usome yasin mara 12 ? kwa sababu ukichukua idadi ya aya 83 za yasin katika jina hili (حفيظ) Mwenye kuhifadhi linaingia mara 12 yaani ( 998/83) na kubakia 2 👈Inamanaa inakuwa ni 996 . Hizo mbili ni siri ya herufi (ب) katika herufi hii kuna siri ya (ا) mbili zinapoungana ndio huunda herufi bee kwa hiyo ukichukua neno (الف) inavyotamkwa thamani yake ni 111 ambapo ni siri ya jina lake Allah (كافي) Mweye kutosheleza kwa kila kitu tukumbuke tuna siri ya alifu mbili yaani (111 na 111) tukitafuta dhati ya nambari hiyo ni (111×111) jumla ni 12,321 ndio maana tunasoma jina hilo kwa idadi hiyo na yasin kwa idadi hiyo ili kupata siri ya ulinzi katika miji yetu wasisogelee watu wabaya (wachawi,wezi au hata wadudu wabaya kama nyoka ,nge n.k)
shukran saaana sheikh unatupa faida kubwaaaa
allah akubariki
caption maneno hatuwezi kusoma hayaonekani vzr nimeupe na picha ni nyeupe hayaonekani tunaomba utuwekee kwenye comment
Asantee saana sheikh wetuu
2026-07-13 17:09:41
1
Mudricky :
Naam mwalim samahan kdg nilikua naomba kama Kuna uwezekano w kila baada y idadi fulan unasoma suurat yaasin 1 mpk kumaliz idadi unakua umemaliz yaasin 12 maana naona kila nikipig hesabu zinagoma tafadhal
2026-07-13 20:31:57
0
Alimental canal :
mbon naskia kuna wat wanakoa
2026-09-01 01:57:28
0
Khadija Mohammed burhani :
shukran
2026-07-26 06:12:40
0
Sayyed abuu abdillahil Ally :
kwaniin usome.jina (كافي ) kwa idadi hiyo na kwaniin usome yasin mara 12 ? kwa sababu ukichukua idadi ya aya 83 za yasin katika jina hili (حفيظ) Mwenye kuhifadhi linaingia mara 12 yaani ( 998/83) na kubakia 2 👈Inamanaa inakuwa ni 996 . Hizo mbili ni siri ya herufi (ب) katika herufi hii kuna siri ya (ا) mbili zinapoungana ndio huunda herufi bee kwa hiyo ukichukua neno (الف) inavyotamkwa thamani yake ni 111 ambapo ni siri ya jina lake Allah (كافي) Mweye kutosheleza kwa kila kitu tukumbuke tuna siri ya alifu mbili yaani (111 na 111) tukitafuta dhati ya nambari hiyo ni (111×111) jumla ni 12,321 ndio maana tunasoma jina hilo kwa idadi hiyo na yasin kwa idadi hiyo ili kupata siri ya ulinzi katika miji yetu wasisogelee watu wabaya (wachawi,wezi au hata wadudu wabaya kama nyoka ,nge n.k)
2026-07-13 17:22:51
2
@ meki rayash _Boxing🥊🥊 :
🥰🥰🥰
2026-07-17 03:25:51
0
To see more videos from user @user7717347668185, please go to the Tikwm
homepage.